Wewe ni mungu wangu (wewe ni
mungu)x2
Pokea sifa baba (pokea sifa)x2
Yuni zambe nanga(yuni zambe)x2
Khuni zama Yahweh(khuni zama)x2
Nitu lama Yahweh (nitu lama)x2
Halle halle halle(halleluyah)x3
Ah nani mwokozi yesu (yesu
mwokozi)x2
Yesu ametenda miujiza nyingi ambayo
ni ya maana
Anaponya na kufufua,*akatembea
juu ya maji,
Akageuza maji kuwa divai,
Ata kama walimpigapiga ,aliponya
Yesu weex2 (aliponya)
Baba weex2(aliponya)
Bathimayo kipofu hakuzaliwa
(aliponya)
Mapepo yakahamishwa kwa nguruwe (aliponya)
Ah mikate tano wakala watu maelfu
(aliponya)
Ah yesu we x2 (aliponya)
Yesu we yesu baba (aliponya)
Ah nani mwokozi yesu (zambe nanga)x7
No comments:
Post a Comment
Write a correction.