Pages

Wednesday, January 13, 2016

NAJIKAZA LYRICS BY ENID MORAA

(refrain)
Najikaza ,natembea, njiani nyembamba,
(Oh ninaimba ) ninaimba,ninasifu,
japo iwe ngumu,x2

verse1
nimekata kauli,mimi nimeamua,
nimehesabu gharama ya kuishi kwa nguvu zangu,
nikalinganisha na faida ya kutengemea mungu,
(japo njia iwe ndefu,majaribu yaniandame,
kwake yesu nasimama,)x2

(refrain)
Verse 2
Wewe ni nguvu yangu ,
Sina mungu mwingine eh
Ila  wewe (bila wewe),
itafaidi nini nauliza mimi kuufuata ulimwengu,
Wote kisha mwishowe nipoteze nafsi yangu
(japo njia iwe ndefu,majaribu yaniandame,
kwake yesu nasimama,)x2


(refrain)
Verse3
Lazima nifike mbinguni ,
Lazima nimwone mwokozi,
Taji yangu yaningoja ,lazima ,
lazima lazimax4
(refrain)

1 comment:

Write a correction.