Verse1
Maneno wananena ,yote ni ya
morning,
Nayo time ikam sure kama hakuna tena worry,
Wewe messiah me nakwita
lovi*
In my heart unago ,
my mind unablow sina tena worry
Ndio maana me natikolo,(tikolo)
Wamama piga tikolo ,(tikolo)
Watoto cheza tikolo,
Aah kushoto kulia tik tikolo ahx2
(refrain)
Tikolox5, ai
Everybody (tikolo x5)na me
Tikolox5, ai
Bamba to bamba,(tikolo x5) na me
Verse2
Nikipata ,nikikosa
Iwe full dish ama iwe sosa,
Nikiwa on the right ama na makosa,
Kama niko rada ama nimenaswa,
Nikipendwa nikiachwa,
Nikifungwa ama nikichengwa,
Nikicheza ama nikichekwa,
Nikisema ama nikisemwa,
Me nadai ni God tu ,
nasumbua ka msee wa form two
ata ikuwe aje atakam through,
me najua God atakam through,
(atakam through)ni God tu, x2
(refrain)
Verse3
Sasa naamini,naamini
nimechanguliwa,
Wito wako nikamili , kamili nimeitikia,
Ona sasa nasafiri,safiri
nashaghulika,x2
[Kila mahali nikigo(nikigo),(nikisonga)
Kila kitu nikido(nikido)
,nikibonga]x2
(Refrain)
No comments:
Post a Comment
Write a correction.