Pages

Thursday, September 15, 2016

KWA NEEMA LYRICS BY DAVY K FT. BOSS MOG


eh kwa neema zako ,
kwa neema zako,mi naishi eh,

kwa neema yako naishi mie
kwa neema yako naishi mie,x4

wamefanyfanya zote jitihada,
kuniwekaweka chini,
wamefanyfanya zote jitihada,
wanione nikisuffer,
kama hewa ingekuwa ni yao ,
wangekuwa washawahi ichukua,
kama mali ingekuwa ni yao,
wangekuwa washaichukua,

(ninaishi x2) ninaishi kwa neema zako x2
(kwa neema yako naishi mie
kwa neema yako naishi mie,x5)

kibali chako neema yako,
imenifanya me niwe wako,x2
nikiomba wewe wasikia,
nikibisha wewe wafungua,x2

(ninaishi x2) ninaishi kwa neema yako x2
(kwa neema yako naishi mie
kwa neema yako naishi mie,x6)

No comments:

Post a Comment

Write a correction.