Pages
▼
Friday, September 16, 2016
TENDA LYRICS BY LADY BEE
Yesu ni bwana (amen) x3
yesu ni bwa bwa bwana,
matendo yako yanashangaza x4
ulisikia kilio cha wana wa israeli,
(ukawaweka huru)
ukasikia kilio ,cha annah baba,
(ukampa mtoto)
elija naye ukamsikia baba,
ukatuma moto,moto,moto ukawashangaza,
hey matendo yako yana-shangaza,
matendo yako yana-shangaza,
matendo yako yana-shangaza,
matendo yako yana-shangaza,
ulisema kwa jina lako
yesu utatenda oh,
ukasema chochote tutakacho yesu utatenda,
leo kwa jina lako,twaitisha wokovu,
twaitisha uponyaji (amen)
twaitisha nguvu zako (amen)
twaitisha waliofungwa minyororo ya nguvu za giza ,
wafunguliwe,(halleluyah eh)
matendo yako yana-shangaza,
matendo yako yana-shangaza,
matendo yako yana-shangaza,
matendo yako yana-shangaza,
tenda tenda ,shangaza,
tenda yesu ,shangaza,
tenda tenda shangaza,
watu wakuone,shangaza,
wagonjwa wapone,(shangaza)
oh vipovu waone (shangaza)
visiwi viwete watembee (shangaza)
unaweza yesu ,unaweza,(shangaza)
wanaokuzoea (shangaza)
nao pia wakujue (shangaza)
wasiojua nguvu zako (shangaza)
na kujua we ni mwenye nguvu (shangaza)
wewe unaweza si kawaida (shangaza)
ulifungua bahari ya shamu,(shangaza)
hujabadilika x3 (shangaza)
halleluyah,
tenda ,tenda x4
No comments:
Post a Comment
Write a correction.