1
Bwana Yesu, uwe nami, bila wewe nina hofu - Lord Jesus, be with me, without you I am afraid
unikaribie sana, uwe kiongozi wangu! - come close to me, be my guide!
Sitaona hofu tena, Yesu Kristo yu karibu. - I will not fear anymore, Jesus Christ is near
Ninataka kufuata njia yako siko zote. - I want to follow your path always
2
Bwana Yesu, uwe nami, kwani mimi ni dhaifu - Lord Jesus, be with me, because I am weak
na unifariji moyo kila siku ya huzuni! - and comfort me every sad day!
3
Bwana Yesu, uwe nami siku zote safarini - Lord Jesus, be with me always on the journey
zikiwako shida huku au raha na amani! - if there are problems here or pleasure and peace!
4
Bwana Yesu, uwe nami! Nahitaji nuru yako - Lord Jesus, be with me! I need your light
hata nitafika mbingu, kao letu la milele! - until I will reach heaven, our eternal home!
No comments:
Post a Comment
Write a correction.