Verse :
Nikasikia sauti nyikani
Tengenezeni njiya yake,
nyosheni mapito yake
Sogeleeni kiti cha neema
Mpate utakaso
Oh what a blessing
Oh what a grace
Heri aoshae (afuae),
Kanzu yake ndani ya damu
Akiliamini neno alilo ambiwa nae
Atakua kama Mti kando ya maji
Majani yake huyo,
Yatakua ma bichi daima.
Chorus :
Heri walio na hilo agano
Wanaye Mungu Kama mwokozi wao
Watasitawi nyumbani mwake
Hao wataitwa wana wa upendo.
Tutasitawi nyumbani mwake
Sisi, tutaitwa wana waupendo
Verse :
moyo wangu, Sifu mungu
sifu mungu sifu mungu
- Nuru ilikuangaziya We Uliye mpole,
Utairithi inchi, Utafarijiwa
- Nuru ilikuangaziya mwenye moyo safi Utabarikiwa, Utamuona mungu
Bridge :
Heri taifa ambalo Bwana ni mungu wao,
Ni wana wa upendo
Aliyo wachagulia, kuwa urithi wake.
No comments:
Post a Comment
Write a correction.