sitaogopa mabaya yakinijia
sitaogopa adui akiniudhi
sitaogopa mambo yasipoenda sawa
sitogopa nikionekana nachelewa
sitaogopa mabaya yakinijia
sitaogopa adui akiniudhi
sitaogopa mambo yasipoenda sawa
sitogopa nikionekana nachelewa
sitaogopa mabaya yakinijia
sitaogopa adui akiniudhi
sitaogopa mambo yasipoenda sawa
sitogopa nikionekana nachelewa
nilikuamini jana
leo umenitendea
ninakuamini tena
ninajua utafanya zaidi oh
nilikuamini jana
leo umenitendea
ninakuamini tena
ninajua utafanya zaidi oh
i am a conquerer
i am victorious
i am a conquerer
i am victorious
mimi ni mshindi
oh mimi ninaweza
i am a conquerer
i am victorious
najua kuwa na njaa na kushiba
najua kukosa na kupata
naweza yote oh nana
katika yeye anitiaye nguvu
anitiaye nguvu
mimi ni mshindi
oh mimi ninaweza
i am a conquerer
i am victorious
No comments:
Post a Comment
Write a correction.