wewe ndiwe mungu haushindwi kamwe er yesu,
umekua zaidi ya wimbo nayoweza kuimba,
umekua zaidi ya maneno nayoweza kusema,
niseme nini bwana, niseme nini yesu,
ila moyo wangu ninakupa,
unaweza, unaweza kufanya mambo
ya ajabu
ya ajabu
ya ajabu
eee yesu ..
wewe ndiwe mungu haushindwi kamwe er yesu,
umekua zaidi ya wimbo nayoweza kuimba,
umekua zaidi ya maneno nayoweza kusema,
niseme nini bwana, niseme nini yesu,
ila moyo wangu ninakupa,
unaweza, unaweza kufanya mambo
ya ajabu
ya ajabu
ya ajabu
eee yesu ..
unaweza (unaweza)x3
kufanya mamboo
wainua(wainua)x3
kufanya mamboo
unatosha(unatosha)x3
kufanya mamboo
unaweza (unaweza)x3
kufanya mamboo
No comments:
Post a Comment
Write a correction.