Pages

Thursday, August 22, 2024

MKONO WA BWANA LYRICS WITH TRANSLATION BY ZABRON SINGERS

Mmmmmmm ah ah ah ahTumeuona mkono wake bwana
Mengi mazuri tumeyaona,Mungu umetendaNi kweli we muweza
Ulitamka vitu vikawaNeno tu latoshaUkisema umetenda
Bahari shamu IsiraeliAh uliwavushaUkawatoa utumwani
Watumishi wako umewapaYote waombayoIkiwa umependezwa
Uamulo hakuna wa kulipingaHakika we ni Mungu, wa vyoteUnatawala dunia na vilivyomoMakuu umeyatenda, Jehova
Hakika tumeonaTumeuona, mkono wako BwanaMatendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali,Ukatushika mkonoMahali uliona pekee hatuwezi(Chini, chini, chini)
Chini hata juuWatu unawainuaSifa na utukufu ni zako milele(Natutakusifu)Twasifu jina lako,Milele tutakusifu (ooh kweli)Daima we umwema tutaishi kwako(Forever You are Good, we shall dwell with You)
Tumeuona, mkono wako Bwana (Lord we have seen Your hand)Matendo yako Bwana ni makuu mno (Your work are great)Umetutoa mbali,Ukatushika mkono (You have brought us from far, holding our hands)Mahali uliona pekee hatuwezi (Where You saw we couldn't by ourselves)Chini hata juu,Watu unawainua (From the lowest to the highest, You lift people)Sifa na utukufu ni zako milele(Praise and Glory belong to You forever)Twasifu jina lako,Milele tutakusifu (We will praise Your name forever)Daima we umwema tutaishi kwako(Forever You are Good, we shall dwell with You)
Ona (Witness)
Msalabani ulitufia,Hm ulitupenda (You died on the cross, for You loved us)Dhambi zetu ukabeba (You carried our sins)Baraka zako tuliziomba kweli tumeona(The blessings we prayed for, we have seen)Hakika unabariki (Truly You bless)Oh hata vipaji we ndo hutoaUmetuwezesha (You are the one who give talents)Tunaimba na kusifu (We sing and praise)Walio haki hutowaacha,Uliwaahidi (You promise not to leave the righteous)Hata mwisho wa dahari (Even until the end of the world)
Hm watu wako umewapa mamlaka (You have given Your people authority)Kwa jina lako Yesu (In Your Name, Jesus)Waponye (To heal)Na huna ubaguzi (You do not discriminate)Wote ni sawa kwako (All are equal before You)Umetuita Yesu, tupone (You have called us Jesus, to heal)
Tumeuona, mkono wako Bwana (Lord we have seen Your hand)Matendo yako Bwana ni makuu mno (Your work are great)Umetutoa mbali,Ukatushika mkono (You have brought us from far, holding our hands)Mahali uliona pekee hatuwezi (Where You saw we couldn't by ourselves)Chini hata juu,Watu unawainua (From the lowest to the highest, You lift people)Sifa na utukufu ni zako milele(Praise and Glory belong to You forever)Twasifu jina lako,Milele tutakusifu (We will praise Your name forever)Daima we umwema tutaishi kwako(Forever You are Good, we shall dwell with You)
Tumeuona, mkono wako Bwana (Lord we have seen Your hand)Matendo yako Bwana ni makuu mno (Your work are great)Umetutoa mbali,Ukatushika mkono (You have brought us from far, holding our hands)Mahali uliona pekee hatuwezi (Where You saw we couldn't by ourselves)Chini hata juu,Watu unawainua (From the lowest to the highest, You lift people)Sifa na utukufu ni zako milele(Praise and Glory belong to You forever)Twasifu jina lako,Milele tutakusifu (We will praise Your name forever)Daima we umwema tutaishi kwako(Forever You are Good, we shall dwell with You)
Ona (Witness)Daima we umwema tutaishi kwako (Forever we shall dwell with You)

No comments:

Post a Comment

Write a correction.