Showing posts with label MR SEED. Show all posts
Showing posts with label MR SEED. Show all posts

Saturday, December 2, 2017

SIMBA WA YUDA LYRICS BY SIZE 8


Simba wa yuda ananguruma (ananguruma)
simba wa yuda ananguruma na akinguruma
(watu waokoka)
Simba wa yuda ananguruma (ananguruma)
simba wa yuda ananguruma na akinguruma
(watu waokoka)

na si alinguruma batimayo kipofu akaona
tena akanguruma mama aliyetokwa na damu akapona
you know alinguruma kaburini kifo kikakosa maana
tena akanguruma mr.seed eh nikaona mwanga

so tararara sometimes i just  feel i wanna sing
nanana ananifanya nifeel so good inside

Simba wa yuda ananguruma (ananguruma)
simba wa yuda ananguruma na akinguruma
(watu waokoka)
Simba wa yuda ananguruma (ananguruma)
simba wa yuda ananguruma na akinguruma
(watu waokoka)

unauliza atanguruma lini
ati shida zitakwisha lini
ananguruma bora umwamini
njia zake na zetu tofauti
eh alinguruma hekaluni
pazia ikapasuka
alinguruma baharini mawimbi yakapoa
alinguruma pia size 8 pia mi nikaona mwanga
ah alinguruma

so tararara sometimes i just  feel i wanna sing
nanana ananifanya nifeel so good inside

Simba wa yuda ananguruma (ananguruma)
simba wa yuda ananguruma na akinguruma
(watu waokoka)
Simba wa yuda ananguruma (ananguruma)
simba wa yuda ananguruma na akinguruma
(watu waokoka)


Wednesday, February 22, 2017

KUMBE LYRICS BY MR.SEED AND BAHATI


kumbe kumbe ,kumbe kumbe
kwa yesu ni raha
kumbe kumbe ,kumbe kumbe
kwa yesu ni raha

kumbe kumbe ,ni raha
kumbe kumbe . ni raha

wacha niwashow oh
kwa yesu ni raha ah oh
namwita papa God oh
niliokoka wakacheka oh oh
wakanipa week sasa ni more oh
nilizaliwa huruma,
na place nimefika ni neema na huruma
sa ni huduma,kwa yesu kuna raha
nakatika nachuchumaa
nilizaliwa huruma,
na place nimefika ni neema na huruma
sa ni huduma,kwa yesu kuna raha
nakatika nachuchumaa

kumbe kumbe ,kumbe kumbe
kwa yesu ni raha
kumbe kumbe ,kumbe kumbe
kwa yesu ni raha

kumbe kumbe ,ni raha
kumbe kumbe . ni raha

hakuna hangover
ila bila gharama
labda turuke kesha
au kulala salama ah
yesu asifiwe,hadi dar sallama
hapa tu ni baraka,hatutaki laana
sisi ni wachanga ndio ,
na tunataka raha ndio
tusiharibu mataya ndio
ju raha za shetani ni mashaka ndio
sisi ni wachanga ndio ,
na tunataka raha ndio
tusiharibu mataya ndio
ju raha za shetani ni mashaka ndio

nilizaliwa huruma,
na place nimefika ni neema na huruma
sa ni huduma,kwa yesu kuna raha
nakatika nachuchumaa
nilizaliwa huruma,
na place nimefika ni neema na huruma
sa ni huduma,kwa yesu kuna raha
nakatika nachuchumaa

kumbe kumbe ,kumbe kumbe
kwa yesu ni raha
kumbe kumbe ,kumbe kumbe
kwa yesu ni raha

kumbe kumbe ,ni raha
kumbe kumbe . ni raha 

sisi ni wachanga ndio ,
na tunataka raha ndio
tusiharibu mataya ndio
ju raha za shetani ni mashaka ndio
sisi ni wachanga ndio ,
na tunataka raha ndio
tusiharibu mataya ndio
ju raha za shetani ni mashaka ndio

nilizaliwa huruma,
na place nimefika ni neema na huruma
sa ni huduma,kwa yesu kuna raha
nakatika nachuchumaa
nilizaliwa huruma,
na place nimefika ni neema na huruma
sa ni huduma,kwa yesu kuna raha
nakatika nachuchumaa

kumbe kumbe ,kumbe kumbe
kwa yesu ni raha
kumbe kumbe ,kumbe kumbe
kwa yesu ni raha

kumbe kumbe ,ni raha
kumbe kumbe . ni raha

kwa yesu ni raha x2
kumbe kumbe ,ni raha

Monday, August 1, 2016

NICHEZE LYRICS BY MR.SEED



Si eti kama nimelewa ,au nimepangawa
lakini roho akitembea ,yote sawa .
nakumbuka sana daudi ni kama jana,
alicheza sawa sawa ,lalalalaa,
huenda ikawa sarakasi na vituko mwenzangu,
vitu upendavyo,la la la la ,naomba unielewe,ninavyokueleza,
naomba unielewe hii ngoma ni yetu lazima tucheze,

wacha nicheze,
wacha mi nicheze,
mi nicheze,wacha mi nicheze,
kama daudi alicheza mbona me nisicheze,
(nisicheze)
kama daudi alicheza mbona me nisicheze,
(nisicheze)
mi nicheze,wacha mi nicheze,
mi nicheze,wacha mi nicheze,
kama daudi alicheza mbona me nisicheze,
(nisicheze)
kama daudi alicheza mbona me nisicheze,
(nisicheze)

sitacheza shoki,sitacheza na shakiti*




Wednesday, November 18, 2015

HAPPY DAY LYRICS BY MR SEED FEAT PITSON




Baraka zako nyafunyafu,
Ata pesa zako nyafunyafu,        
Biashara yako( nyafunyafu)




(Refrain)    
When am looking at you
and you looking at me eeh, eeh
It’s a happy day x4

Verse1
When am looking at you ,
You looking at me eeh,
You don’t feel happy,
I don’t know whats  wrong  eeh,
Forget your troubles,
forget your sorrows eeh,
It’s a happy day,come ,
We de celebrate,if its food,he go give you
Nyafu nyafu,
Na karo ya shule ,
he gonna give you nyafunyafu
Baraka zako, nyafunyafu,
Ata pesa zako ,nyafunyafu,       
Biashara yako,( nyafunyafu)x2,   
(Refrain)

Verse2
I see the DJ, I feel the music,
Teddy b, lets get busy
We are delivered,
we are the leaders, 
and we don't do liquor coz, we got Jesus
Kijana simama tucheze ngoma tupige makofi,
Mungu wa Israeli ametuondolea mikosi,x2
Hatukosi,hatuogopi,hatukopi,
Hatuondoki, akirudi,hatubaki ,ai,hatuchoki,
(Refrain)


Dudi (kuchikuchi)X 3
Dudi (kuchikuchi)X 3
Dude (teremuka)X3  
Dude (teremuka)X3   
Baraka zako nyafunyafu,
Ata pesa zako nyafunyafu,        
Biashara yako( nyafunyafu)x2,    
(Refrain)

LAWAMA LYRICS BY BA’MDOGO ft.MR SEED




 Verse1
(ba’mdogo)
Dunia ina mambo mengi ,
Na ya dunia yachoma ka kiberiti,
Waweza ukafukia chini ,
Ukirudi nyumbani wayapata na bibi

Hivi vikwazo utapitia sio kidogo
Ata baba yako utampata na mke wako,
Rafiki zako wakusaliti kila uchao,
Hii dunia sio yako ,ukiibeba utavunjika,
tafuta rabana akuonyeshe njia ,
Ukibeba kisasi machungu yataharibu sura,
Mangapi mwokozi yesu alipitia,
Ila yana mwisho kasema (yamekwishax3),

(Refrain)
(Mr. seed) 
Ayaya mama (ayaya ya),
Tena wema maliza lawama,
Ayaya yax2
Nalala na jina lake (yesu we e x2)x4
Verse 2
(ba’ mdogo)             
Mbona shingo upande unaponisaidia mwenzio,
Nibebe nipande nitakufaidai kwa lingine,
Na kesho ikifika nitakuombea kwa maulana,
Akupe na fanaka kwa yote unayofanya,
Kutoa ni moyo usambe ni utajiri,
Kwa muoga huwa na kicheko
Kwa shujaa huwa na kilio,

Together we praise the lord,
Together we live forever,
Together we sing my song ,
Together we dance together,
We will bless the lord,
 with the screams and shouts,
when tomorrow comes you are still my brother,
mashujaa huwa na kilio
(refrain)