Showing posts with label kelele takatifu. Show all posts
Showing posts with label kelele takatifu. Show all posts

Friday, January 13, 2017

AINA NOMA LYRICS BY KELELE TAKATIFU


Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo

inajulikana ,huwezi pika githeri na candle,candle
na hivo hivo huwezi bila yesu akiwa kando,kando
shida ni mingi,kama risasi kwa movie ya rambo,rambo
lakini yesu suluhisho kutoka kitambo,kitambo
baadaye me naomba kiskuli,
maisha mitihani bila skuli,
shetani kujaribu kunikuli
lakini kwako natulia tuli,
so sitaruka kama tumbili,
ah nitakungoja nitasubiria
ah na ukikuja kwangu hatulii ,
utavuta machozi hatulii

Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo

askari kari kari ,unachunga milango haina noma
ata niwe daktari niende mbali
niwe nimesoma haina noma
yesu nitakuita uje utende jambo ,jambo
nitatuliza ngoma,ata ka nyumani kuna jambo,jambo
chini kaniokota,ndoto nikaota,
za kupaa kama nyota,nikiwa nawe sitasota
si nimeomba nimepray,staleta mchezo sitaplay
ninajua utakuja hutadelay,me ni wako pekeako sitakuplay

Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo

heri wamtumainio bwana (wamtumainio bwana) x2
wana furaha wamtumainio bwana (wamtumainio bwana)
watajibiwa wamtumainio bwana (wamtumainio bwana)
heri wamtumainio tumainio (wamtumainio bwana) x2

Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambox2

Saturday, July 23, 2016

BACK AGAIN LYRICS BY PASTOR RHYMES FT KELELE TAKATIFU

Mmmh   Pastor Rhymes
Kelele Takakade-
Hallee-hallelujah
Eih He’s coming back again
Hallee-hallelujah, Eih nipe moyo safi
Oh oh nai nai nai, oh nai nai nai nai
Nipe moyo safi
Oh oh nai nai nai, oh nai nai nai nai (Teddy B)

{Verse One}
Napenda Yesu na hio sio siri
Amenitoa fayani uko Misiri
Walidhani nitarudi nyma misiri
lakini Yesu wewe umenisitiri
Nchini wazi wazi tunahubiri
kwa vijiti hata na kwa **masiri
Upendo wangu na Yesu sio wa siri
minajua nitamwona one day
kila kitu iwe swari
kila goti litapiga some day
bila kuuliza swali
minajua nitamwona one day
kila goti litapiga some day

{Chorus}
He’s coming back again, Halee-halellujah

He’s  coming back again, Halee-halellujah

Eiiih nipe moyo safi

oh oh nai nai nai, oh nai nai nai nai

Eiih nipe moyo safi

oh oh nai nai nai, oh nai nai nai nai X2

Verse Two}
maisha bila Yesu ni calamity
ata afadhali kufungwa kamiti
aiih kanisani ni macommetee
na ya muhimu hakuna mikakati
oh nana, juu mimi na yeye
mbinguni tutaonana nimepata nafuu
nimeshaponana, nimechorea dhambi zangu jo jana
ohyaya
unarudi tena hio mimi niko sure
mi nitakugoja iwe mvua ama jua
juu umeniwezesha mi kupiga hatua
tunaenda nawe hio niko sure.

(chorus)

{Verse Three}
Nimeokoka long time
it’s been a long time coming
nicheki nikimsifu
mi naruka kama nyani
Saito simtambui yeye ni nani
kusudi naingiza he’s coming aiiiih
so aiiih, siachi Yesu no aiiih
zaidi go yai aiiih
yo mama yo mama yoh mamaiiii

{Bridge}
Damu ya Yesu ilimwangika kaivali
Damu ya Yesu kaning’arisha niko tayari X2


{Chorus}

Tuesday, June 14, 2016

BAMBA MBAYA LYRICS BY KELELE TAKATIFU



(chorus)
nimeokoka na ina nibamba mbaya,
yesu  ananibamba mbaya,
eiii ananibamba mbaya,
bamba bamba mbaya x2
bamba bamba ah,
ananibamba mbaya,
ananibamba mbaya, ah,
(come again)
bamba bamba ah,
ananibamba mbaya,
ananibamba mbaya,


verse 1 
shetani nyenye nyenye bubu,
ninakukanyaga kama mdudu,
yesu akisema me nado do,
kazi tu kujibamba na kwa budu
msalabani akabuy me
ye ndio mso wengine jo ni tiny,
mambo yake laini ka maini
aii,ye amening'arisha niko shiny,
horera!
oh God kwake niko easy,
easy no rush,yesu anipenda ,yess me know that,
can't wait for sunday so ,
me go church oh God,

(chorus)

verse 2
yesaiyaa ,me napenda messiah,
tangu niokoke shetani anitoke wokovu inanibamba mbaya,
ananibamba amenipa roho,
nyeupe kama pamba
unaweza niita ndege ,me napanda,
dhambi tumeua na umealikwa matanga,
haijalishi we nani ,
umetoka buru ama wendani,
mizigo mizito umebeba ,
ni jua bila yesu we,
huwezani karibu uwe ndani

(chorus)

[bridge]

yes man( ananibamba mbaya) x3
yes man( ananibamba mbaya) x3
ananibambambambeng!
anani,ribaribaribangbeng!
ananibambambambeng!
(chorus)

ona na na what can i say x2
unanibamba day by day x2}x2