(Refrain)
{Sarah k.}
Yesu ndiye msaada wangu,
wa karibu, kwa yote ninayopitia,
maaana mimi ,siyawezi, haya
yote ,ni wewe ,uyawezaye
Verse1
{Abeddy ngosso}
Mungu wangu, nifungulie, milango ya mbinguni,
kwa yote ninayopitia, ni
wewe uyawezaye ,
shida zangu zimekuwa nyingi nakuitaji wewe ,baba
(Refrain)
Verse 2
{sarah k.}
Wewe ndiwe, ninaye bariki,
na tena, unaponya, mlinzi
mwema, utulindaye,
na wewe tu unafariji baba ,wewe ndiwe mti wa uzima,
milele twakuhitaji… baba.
(Refrain)
Verse3
Yesu wangu, nakuhitaji, njoo ndani ya moyo wangu, {abbedy ngosso}
unibariki,nifariji ,maana
nimevunjika,{both}
oo sina mwingine,aniwezaye
ila wewe, wanitosha{sarah k.}
Refrain)
Hakuna aliye kama yesu, maana yeye utenda
Ninakuinua(ni wewe uyawezaye)
Ni wewe waweza yote (ni wewe uyawezaye)
Ninakutukuza (ni wewe uyawezaye)
Ni wewe waweza yote..ni wewe baba
No comments:
Post a Comment
Write a correction.