Showing posts with label JOHN LISU. Show all posts
Showing posts with label JOHN LISU. Show all posts

Thursday, January 14, 2021

HAKUNA GUMU KWAKO LYRICS BY JOHN LISU


Wewe ndiwe Mungu wastahili utukufu
Umefanya mengi ya ajabu
Wewe ni mfalme

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Ulitembea juu ya maji YESU
Hakuna gumu kwako
Wafanya njia pasipo na njia
Hakuna gumu kwako

Na wagonjwa wanapona YESU
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Kuta za gereza zatingizika
Minyaroro yakatika
Wafungwa wafunguliwa Yesu
Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Mashtaka yetu yamefutwa
Vita vyetu ni juu ya Bwana
Falme zitainuka, falme zitaanguka
Bali ufalme wako wadumu

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Milima yayeyuka kama nta mbele zako
Wanguruma kama radi wewe Mungu mwenye nguvu
Uliumba pasipo wewe kuumbwa
Wewe ni mfalme

Monday, October 26, 2015

TUNAKUABUDU BWANA BY JOHN LISU

(refrain)
(Tunakuabudu, bwana aaa
Tunakuabudu, mwenye uweza
Tunakuabudu ,bwana
Hakuna kama wewe ,bwana)x4
Verse1
Matendo yako kwangu ni ya milele
Wewe wastahili, heshima dhamana nguvu
Uweza wako ,washangaza mataifa yote ,
wewe ni mungu mkuu,
Wastahili heshima ,
(Refrain)
Tunakuinua



(Halleluya)x10
Wewe ni bwana
(refrain)

Hakuna kama wewe
Tengemeo letu
Wastahili kusifiwa
Umetenda
Uweza wako ni wa milele
(hakuna kama wewe bwana)

Wednesday, October 7, 2015

YU HAI JEHOVA LYRICS BY JOHN LISU

(Refrain)
(Yu hai jehova, 
(alive is Jehova)
yu hai milele
(forever He is alive)
Eeh mataifa tumsifu,
(all nations praise Him)
Yesu yu hai)x4
 (hallelujah jesus is alive)

Verse 1
Ameshinda kifo na kaburi 
(He overcame death and grave)
yeye yu hai,
(He is alive)
Mataifa,
(all mations)
tumwimbie yesu yu hai , 
(lets praise Him He is alive)
kaburi lilishindwa kumshika,
(grave could not hold Him )
akatoka shujaa,
(He emerged a hero)
sasa tu huru,
 (we’ve been set free)
tumwimbie yesu yu hai 
(lets praise Him He is alive)
(Refrain)


Verse3

(Bwana aah)x10
(lord)
Katikati ya miungu ,
(amongst the gods)
hakuna mungu kama wewe
(no other God like you)
( mungu Kama wewe)
(God like you)
Katikati ya mabwana,
(amongst the lords)
hakuna bwana kama wewe,
(no lord like you)
(bwana kama wewe)
(lord like you)

 

Sunday, September 20, 2015

UTUKUFU NA HESHIMA LYRICS BY JOHN LISU

Utukufu na heshima –aa
zote ni zako wewe( wastahili- iix2)
Uliacha aa enzi yako na mamlaka yako mbinguni ukashuka kutukomboaa,wastahili-ii
(Wastahili) wewe bwana ,peke yako aah yesu
(Twakuinua)wewe bwana,aah yesu unaweza
(Unaweza) wewe bwana
aah yesu twa kupenda( twa-a-kupenda)wewe bwana
ahh yesu wastahili(wastahili) mwana kondoo
uliyechinjwa wastahili kupokea heshima na utukufu
nazo nguvu tunasema zote ni zako
(halleluyah)

Friday, September 18, 2015

TWAKUSIFU LYRICS BY JOHN LISU

Refrain
(Wakusifiwa, wakuabudiwa ni
 wewe tu mungu wa miungu)x3
verse 1
(Ooh ni wewe tu bwana mungu
 wa miungu) x2,
Ooh hakuna kama wewe bwana,
mungu wa miungu ni wewe tu
 mungu wa miungu,,eeh wastahili heshima
 na Sifa,mungu wa miungu ni wewe tu
 mungu wa miungu ,aah hakuna wewe
 bwana mungu wa miungu ni wewe tu
mungu wa miungu(halleluyah)

(Refrain)x2


Verse 2
Astahiliye heshima utukufu na nguvu
ni wewe tu mungu wa miungu ( refrain)
Eeh mamlaka ni yako heshima
 ni zako ni wewe  tu mungu mwenye nguvu(refrain)
(Ni wewe tu bwana mungu wa miungu)x2
Aah hakuna kama wewe bwana (mungu wa miungu)
Ni wewe tu mungu wa miungu
Wastahili heshima zote (mungu wa miungu)
Wewe bwana( mungu wa miungu)

(Twakusifu ,twakutukuza twakubariki,ewe bwana)x4
(eeh umetukuka ) x2
(eeh unastahili) x2
(eeh tuna kupenda --aa)x2
(eeh twakuinua )x2
(eeh twakubariki)x2
( eeh twakutukuza)x3

Tuesday, September 15, 2015

FUNGUA MACHO LYRICS BY JOHN LISU

[Verse1]
Mtakatifu, Ndiwe Mungu,
Jina lako, Ni takatifu,
Na moyo wangu, Utaziimba sifa,
Zako, Bwana

Kwa neema yako, Ninaishi,
Na wokovu wangu, ni wewe,
Ni wewe, yesu ,
Uliyeibeba dhambi, ukatupa
Maisha mapya
(kupitia msalaba, tumerejeshwa, ndani, ya nuru yako)x2

[Refrain]
Fungua macho, yangu nione,
Utukufu wako, Bwana,
Fungua macho, yangu nione,
Ajabu zako, na jina lako,  ooh
Ooh ooh aaah
Eeh eeh eeeh
Oooh aah aah
 [Verse 2]
[halleluya]
Haya ni maombi yangu Mungu wangu,
Ya kwamba ufungue macho yangu ya ndani
Nipate kuona, utukufu wa jina lako,
Nipate kuona, ajabu za jina lako,
Jehova nakuhitaji katika maisha yangu.
maana wewe ni kila kitu  katika maisha yangu,
(oooh)X3
Mwambie bwana afungue macho yako ya ndani, (oooh)X3
Ili upate kuona kile mungu anataka uone katika maisha yako
Kama Mungu alivyofungua macho yake Ngehazi (oooh)X3
Akaona walio upande wa bwana ni wengi
Kuliko walio  upande wa adui,
(oooh)X3 Na sisi tunatamani tuone ,katika macho yetu ya ndani
Mungu fungua macho yetu ya ndani ,na masikio yetu Ya ndani
(oooh)X3 tupate kujua yaliyo makusudi ya jina lako,yaliyo makusudi katika maisha yetu
Bwana haya ni maombi yetu ,ya kwamba ufungue macho yetu ya ndani,
tupate kuona bwana ooh halleluya

[verse 3]
Asanta  kwa kuwa unafungua macho yetu
Tupate kuona matendo makuu,
Asante kwa kuwa unabadilisha mataifa,
Na mataifa yatauona utukufu wako
Maana wewe ni mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana , halleluyah
(Fungua macho, yangu) x 2
(Fungua macho, yangu) x 4

Asante bwana kwa kufungua macho yangu,
Ninakushukuru nakubariki,
Kwa maana sitakuwa nilivyokuwa Baba
Unanipatia vitu sjawahi kuziona  katika maisha yangu
Wewe ni bwana wa mabwana

[Chorus]
Nione , utukufu wako X4
Jehova elshadai eloi tunakubariki Mungu wetu

Friday, September 11, 2015

NITAKUSHUKURU BWANA BY JOHN LISU


Nitakushukuru bwana kwa moyo wangu wote,umenitendea ah
Nitakusifu wewe, kwa matendo makuu, hakuna mwingine kama wewe  

[Chorus]
Nitakushukuru bwana kwa moyo wangu wote,umenitendea ah

Nitakusifu wewe, kwa matendo makuu, hakuna mwingine kama wewe  


Nikurudishie nini Bwana, kwa ukarimu wako ulionitendeaaa
Nitakipokea kikombe, cha wokovu wakoo,nakuzitangaza fadhili zako ,
Maana wewe wastahili, kusifiwaaa,hakuna mwingine aliye kama wewe  bwana.

[Chorus]


Wewe pekee ndiwe unastahili kusifiwa
Tunakupa shukurani uweza na nguvu,
Ni vyako mfalme wa wafalme,halleluyah

[chorus]


Pokeaa sifa, bwana wa mabwana, pokea sifa, wewe wastahili,]x6


Kwa nguvu zangu  zote,(Nitakusifu wewe),
 kwa akili zangu zote,(Nitakusifu wewe)
Na  Kwa nguvu zangu zote ,(Nitakusifu wewe)
Nitakusifu daima,(Nitakusifu wewe)
Na kwa mali zangu  zote ,(Nitakusifu wewe)
Na kwa akili zangu ,(Nitakusifu wewe)
Nitakusifu milele ,(Nitakusifu wewe)
Maana wewe wastahili sifaa,,(Nitakusifu wewe)
Nitakusifu daima ,(Nitakusifu wewe)
Nitakusifu milele,,(Nitakusifu wewe)
Nitakusifu daimaa ,(Nitakusifu wewe)
eeh wastahili sifa na heshima bwana ,
hakuna kama wewe aaah[ hallelujah]
wewe pekee wastahili mungu wetu,sifa heshima ni zako
,tunarudisha sifa na utukufu  mbele za kiti chako cha enzi,
ooh hakuna mwingine aliye kama wewe,


Sifa na heshima pokea bwana,
wewe wastahili utukufu na nguvu,mamlaka na sifa ,,Pokea bwanaa
wewe wastahili,utukufu na nguvu ,utukufu na heshima pokea bwanaa,
Wewe wastahili utukufu na nguvu,uweza mamlaka pokea bwanaa,
wewe wastahili utukufu na nguvu,Utukufu na sifa pokea bwanaa,
wewe wastahili utukufu na nguvu,

[Hallelujah]inua mikono yako juu,[ juu kwa bwana] x3

Yeye anastahili sifa, anastahili kusifiwa ,
ni bwana juu ya mabwana na mfalme juu ya wafalme
Aah,utukufu ni wako tu pekee , ,
na heshima ,ni zako tu pekee,
Mamlaka ni yako tu pekee,
utukufu ni wako tu pekee
na uwezaa,ni wako tu pekee,
[Tumsifu,tumtukuze ,anastahili,]x2
Eeh utukufu ,ni wako tu pekee ,nazo nguvu zote ni zako tu pekee,
Na heshimaa ni zako tu pekee[,tumusifu tumtukuze anastahili,]x2
Eeeh wewe ni bwanaa,hakuna mwingine aliye kama wewe,tunalibariki jina lako sifa na heshima
Ni zako bwana[ halleluyah]



UPENDO LYRICS BY JOHN LISU

[Refrain]
Je ni nani,atakayenitenga na upendo wako, eh eh yesuX2                

ha-hakuna cha kunitenga na upendo wako yesu X 2
wala wenye mamlaka wala wenye vyeo, ooh oh (hawanitenga)X 2
wala yaliyojuu wala yaliyochini, hayatanitenga na upendo wako
wala yaliyopo wala yatakayokuja, hayatanitenga na upendo

wala hakuna aah, cha kunitenga  na upendo wako, eh ,eh yesu X2
[Refrain]
Upendo upendo ooh oh,
yesu ninakupenda ah ah,
sinaye mwingine eh eh,
zaidi yako X2

kule kuwa kama mungu uliona, si kitu cha kushikamana nacho,
mbali ulinyenyekea, ah, hata mauti
Kwa upendo wako yesu, ukashuka kwetu,
ulidharauliwa na kuteswa kwa ajili yetu
[Refrain] X2

Nitakua wako, Sitatoka kwako,
Nitakaa nyumbani mwako (siku zote za maisha yangu) X2
Ale (siku zote) X2 (siku zote za maisha yangu)
Nitafakari  hekaluni mwako, baba (siku zote za maisha yangu)
Niutazame uzuri wako, yesu (siku zote za maisha yangu)
Ale (siku zote) X2 (siku zote za maisha yangu) X2

Repeat above verse.

Anatawala yesu X4
Hakuna kama yeye X4
Ni mwokozi wa ulimwengu yesu, hakuna kama yeye
Ni bwana wa mabwana, hakuna kama yeye
Hakuna kama yeye X2 hakuna kama yesu
hakuna kama yeye, Ni mwokozi wa ulimwengu yesu,
Hakuna kama yeye,
Yesu ndiye Bwana, jana leo hata milele X6

Alipo yesu, mambo yote yanawezekana X2
Alipo yahweh, mambo yote yanawezekana
Alipo Baba, mambo yote yanawezekana 
Hakuna Jambo (Lisilowezekana kwake yesu)X2
Anaweza yote , YesuX2
Anaponya Magonjwa(Anaponya Magonjwa, Yesu)

Alipo yesu, mambo yote yanawezekana X2
Alipo yahweh, mambo yote yanawezekana
Alipo Baba, mambo yote yanawezekana 
Hakuna Jambo (Lisilowezekana kwake yesu)X2
Anaweza yote , YesuX2

(Mataifa yote, acha sifa za Bwana zitikise dunia,
Washa moto wa roho, acha sifa za Bwana zitikise dunia,
Anastahili sifa eh X4 ) X2

Ruka Juu..kwa yesu

[ (Hakuna eh)x2 hakuna kama yeye ]X2
hakuna kama yesu eh ( hakuna kama yesu ) x2
[hakuna X3 ( hakuna kama yesu )] x2
hakuna kama yesu eh, ( hakuna kama yesu )  x2
Tanzania Nzima Hakuna Kama Yesu
Afrika Mzima Hakuna Kama Yesu
Furaha Iko.