Showing posts with label SWAHILI PRAISE. Show all posts
Showing posts with label SWAHILI PRAISE. Show all posts
Wednesday, May 3, 2017
TWAKUSIFU LYRICS BY RUTH WAMUYU
Twakusifu
Twakusifu
Twakusifu mungu mwenye nguvu
hauna mwanzo, wala mwisho,
Mungu wetu usifiwe (x2)
Sifa ni kwako (pokea, Pokea),
na utukufu wote (pokea, Pokea),
sifa nikwako (pokea, Pokea),
(pokea, Pokea)
sifa ni kwako (pokea, Pokea),
nayo heshima (pokea, Pokea)
pokea, pokea, pokea , pokea
sifa nikwako (pokea, Pokea),
Wamilele wamilele mungu wa baraka ni nani eh
wamilele eh eh, eh eh ni Yesu x4
Yeye ni wa uzima ah
wamilele milele milele x6
Baninga to yembela Yesu oyo Christu masiya azali na bomoyi
Bilengi ya nzambe oyo, Eleki ya mokili eh eh
Makasi ya yesu oyo, eleki ya bango nyoso oh oh
Nani mokonzi? yesu!
Elombe na bitumba? Mokonzi !
Nkonsi na yuda ? Yesu !
Nzenga mabu !
Tobeti maboko, to beti milolo, to tomboli monene nayo Nkolo !
Yesu ni wangu, ni wa uzima wa milele eh
wa milele eh eh, eh eh Ni Yesu
Mungu wa zamani kila matendo, yako ni mupya kila siku
wa milele eh eh, eh eh Ni Yesu
Ana nitunza ni wa uzimawa milele eh
wa milele eh eh, eh eh Ni Yesu
Una badiri maisha ya watu, ila wewe, awubadiriki kamwe
wa milele eh eh, eh eh Ni Yesu
Yeye ni wa uzima ah ah
wamilele milele milele (x5)
Friday, September 11, 2015
NITAKUSHUKURU BWANA BY JOHN LISU
Nitakushukuru bwana kwa moyo wangu wote,umenitendea ah
Nitakusifu
wewe, kwa matendo makuu, hakuna mwingine kama wewe
[Chorus]
[Chorus]
Nitakushukuru bwana kwa moyo wangu wote,umenitendea ah
Nitakusifu wewe, kwa matendo makuu, hakuna mwingine kama wewe
Nikurudishie
nini Bwana, kwa ukarimu wako ulionitendeaaa
Nitakipokea
kikombe, cha wokovu wakoo,nakuzitangaza fadhili zako ,
Maana
wewe wastahili, kusifiwaaa,hakuna mwingine aliye kama wewe bwana.
[Chorus]
Wewe
pekee ndiwe unastahili kusifiwa
Tunakupa shukurani uweza na nguvu,
Ni
vyako mfalme wa wafalme,halleluyah
[chorus]
Pokeaa
sifa, bwana wa mabwana, pokea sifa, wewe wastahili,]x6
Kwa
nguvu zangu zote,(Nitakusifu wewe),
kwa akili zangu zote ,(Nitakusifu wewe)
Na Kwa nguvu zangu zote ,(Nitakusifu wewe)
Nitakusifu
daima ,(Nitakusifu wewe)
Na
kwa mali zangu zote ,(Nitakusifu wewe)
Na kwa akili zangu ,(Nitakusifu wewe)
Nitakusifu
milele ,(Nitakusifu wewe)
Maana
wewe wastahili sifaa, ,(Nitakusifu wewe)
Nitakusifu
daima ,(Nitakusifu wewe)
Nitakusifu
milele, ,(Nitakusifu wewe)
Nitakusifu daimaa ,(Nitakusifu wewe)
eeh
wastahili sifa na heshima bwana ,
hakuna
kama wewe aaah[ hallelujah]
wewe
pekee wastahili mungu wetu,sifa heshima ni zako
,tunarudisha
sifa na utukufu mbele za kiti chako cha
enzi,
ooh
hakuna mwingine aliye kama wewe,
Sifa
na heshima pokea bwana,
wewe
wastahili utukufu na nguvu,mamlaka na sifa ,,Pokea bwanaa
wewe wastahili,utukufu na nguvu ,utukufu na
heshima pokea bwanaa,
Wewe
wastahili utukufu na nguvu,uweza mamlaka pokea bwanaa,
wewe
wastahili utukufu na nguvu,Utukufu na sifa pokea bwanaa,
wewe
wastahili utukufu na nguvu,
[Hallelujah]inua
mikono yako juu,[ juu kwa bwana] x3
Yeye
anastahili sifa, anastahili kusifiwa ,
ni
bwana juu ya mabwana na mfalme juu ya wafalme
Aah,utukufu
ni wako tu pekee , ,
na
heshima ,ni zako tu pekee,
Mamlaka
ni yako tu pekee,
utukufu
ni wako tu pekee
na uwezaa,ni wako tu pekee,
[Tumsifu,tumtukuze
,anastahili,]x2
Eeh
utukufu ,ni wako tu pekee ,nazo nguvu zote ni zako tu pekee,
Na
heshimaa ni zako tu pekee[,tumusifu tumtukuze anastahili,]x2
Eeeh
wewe ni bwanaa,hakuna mwingine aliye kama wewe,tunalibariki jina lako sifa na
heshima
Ni
zako bwana[ halleluyah]
Wednesday, September 2, 2015
MOYO WANGU SIFU BWANA LYRICS BY ELKANT
Moyo Wangu (Sifu bwana) X2
Siku zote (Halleluya)X2
Imba imba (Anaweza)X2
Tumshangilie kwa shangwe kubwa, halleluya
Ndiye bwana, wa mabwana X2
Shangilia, Ametenda mema,
yesu bwana, mfalme wa ajabu,
ameshinda, kifo na mauti atawale, milele amina , aah
Siku zote (Halleluya)X2
Imba imba (Anaweza)X2
Tumshangilie kwa shangwe kubwa, halleluya
Ndiye bwana, wa mabwana X2
Shangilia, Ametenda mema,
yesu bwana, mfalme wa ajabu,
ameshinda, kifo na mauti atawale, milele amina , aah
Subscribe to:
Posts (Atom)