Sunday, June 7, 2015

MUNGU AWAFANYIA TIMING LYRICS BY ANNASTACIA MUKABWA

Mimi mungu nawanyia timing, adui zako
Jehovah  nawanyia timing, adui zako
Mimi mungu nawanyia timing, wowowo, adui zako
Jehovah  nawanyia timing, adui zako

Wamisiri unaowaona leo,  hautawaona tena
Maadui unaowaona leo,     hautawaona tena
wanaukupiga vita pale kazini wewe, hautawaona tena
wanaotaka usiendelee,       hautawaona tena
Jua mimi ni mungu ,          hautawaona tena
Tambua mimi ni mungu,     hautawaona tena
Jua mimi ni mungu,          hautawaona tena
Tambua mimi ni mungu hautawaona tena


Mimi ni mungu , nisiyeshindwa kamwe,
Mimi ni mungu mwenye nguvu,
Waisraeli, walipotoka misri,
Mimi ni mungu , Niliwaongoza,
Adui zao waliwafuata kwa kasi,
Kando kando milima, mbele bahari ya shamu,
walinililia, waliomboleza ,
Nilisikia, nikiwa mbinguni

Refrain

to be continued....



No comments: