Showing posts with label SWAHILI. Show all posts
Showing posts with label SWAHILI. Show all posts

Wednesday, October 7, 2015

ROHO WAKO LYRICS BY JANET OTIENO




Verse1
Aaah mmmh
Barabara za dhahabu makao ya ajabu
Nawacha ya ulimwengu ili nione mbingu,
Chuki nawacha,(nawacha ),na masengenyo
Wivu nawacha ,(nawacha),yote maovu ,
Na sasa kwako nasongea,
 mbali na maovu niweke,
Kwako nasongea, ushindi nipate ,
Nisaidie eeh yesu ,nisaidie baba,
unisaidie eeh Yahweh,
Nisaidie ,naomba




(Refrain)
(Uniongoze, kwa roho wako,
 unishike mkono)x2


verse2
Mama aliyetokwa na damu miaka mingi ukamponya,
(Aah),gerezani ulikuwa nao, Paulo na sila ,
kamtoa danieli mdomoni mwa samba( aah),
ata nami kwa imani utaniokoa najua ,
nisaidie baba nisaidie  yesu,
nisaidie Yahweh, unisaidie

(Refrain)
Mkono ,nishike, nitembee ,na wewe,
( me nawe milele…   lele)x2
(Refrain)x4
Mkono ,nishike, nitembee ,na wewe,
( me nawe milele   lele)x2

Sunday, September 20, 2015

UTUKUFU NA HESHIMA LYRICS BY JOHN LISU

Utukufu na heshima –aa
zote ni zako wewe( wastahili- iix2)
Uliacha aa enzi yako na mamlaka yako mbinguni ukashuka kutukomboaa,wastahili-ii
(Wastahili) wewe bwana ,peke yako aah yesu
(Twakuinua)wewe bwana,aah yesu unaweza
(Unaweza) wewe bwana
aah yesu twa kupenda( twa-a-kupenda)wewe bwana
ahh yesu wastahili(wastahili) mwana kondoo
uliyechinjwa wastahili kupokea heshima na utukufu
nazo nguvu tunasema zote ni zako
(halleluyah)

UMENIFANYA IBADA LYRICS BY GLORIOUS WORSHIP

Refrain )

(Umenifanya ibada ,nikuabudu ,
umenipa kutumika chini ya pendo lako)x2
mamlaka na nguvu ninazo,
kufanya lolote utakalo,
mamlaka na nguvu ninazo
( maana we upo ndani yangu)x2)x3
Verse 1
(Umeniweka sirini mwako bwana aa,
nikujue zaidi ya fahamu zangu .uu.. )x2
  mamlaka na nguvu nina-aa-zo,
kufanya lolote utakalo,
mamlaka na nguvu ninazo
( maana we upo ndani yangu -uu)x2

( Refrain)x4

Nasema ndio   (ndio-oo)
Nasema ndio    ( wewe ni bwana)(ndio-oo)
Nasema ndio    (nimekubali kuwa wako)(ndio-oo)
Nasema ndio    (nimekubali kutumika)(ndio-oo)

Ni-na-sema ndio-oo, ndio,( bwa-aana)x6

NDIO YAKO LYRICS AND TRANSLATION BY GLORIA MULIRO

Ingelikuwa Mungu, anauliza mwanadamu u     [If God would be asking man]
Jinsi ya kumtendea a, mwanadamu,                [on how to treat a him]
Basi mimi nisingekuwa , jinsi nilivyo,            [Then i would not be how i am ]
Ata tena nisingekuwa mahali nilipo,                [Even i would not be where i am]
Ungeambiwa sifai, wangekukanya vikali          [you would be told i am not worthy, They would warn you harshly]
Ungekumbushwa dhambi zangu za kale baba yo yo [Father, you would be told of my past sins]
Unabariki unayependa a,                                 [You bless whom you love]
Unabariki unavyopenda a ,                              [You bless as you wish]
Mimi nahitaji eeh                                           [I need your yes]

[Refrain]
Nahitaji ndio oh yako yesu tu                        [I just need your yes Jesus]
Nahitaji ndio oh yako yesu tu                        [I just need your yes Jesus]
Ninataka ndio oh yako yesu tu (Yako yesu),  [I just need your yes , your yes Jesus]
Ndio yako ndio itanisimamisha ah                 [Your yes will keep me up]
Ndio yako itanifungulia milango oh               [Your yes will open doors for me]



Hakuna sikio lenye funiko jamani ,                   [There is no ear with a cover folks]
wala sijaona jicho lenye pazia ah ,                     [Nor have i seen an eye with a curtain]
adui zako wangelikuwa na uwezo oh ,               [If your enemies had the ability]
wangefumba macho wangefunika maskio oh      [They would cover their eyes and ears]
Wasikuone ukiwa juu ,wasisikie umebarikiwa eh, [Not to see you up, and not hear that you are blessed]
meza utaandaliwa mbele yao oh,                        [A table will be prepared for you in their presence]
Utakula utakunywa mbele yao oh,                      [You will eat and drink before them]
Nasema ndio ,ndio ya bwana ah                         [Am saying yes, my Lord's yes]

[refrain]

[bridge]
Yesu husiposema ndio, mali yangu,                [Jesus if you dont say yes, my property,]
akili zangu u hazitaweza Bwana sema , sema [my intelligence wont make it, Lord say yes]
ndio,  yatosha ee                                              [it will be sufficient]

Nahitaji ndio oh yako yesu tu                         [I just need your yes Jesus]
Nahitaji ndio oh yako yesu tu                         [I just need your yes Jesus]
Ninataka ndio oh yako yesu tu (Yako yesu),    [I just need your yes , your yes Jesus]
Ndio yako ndio itanisimamisha ah                  [Your yes will keep me up]
Ndio yako itanifungulia milango oh                [Your yes will open doors for me]
Ndio yako ndio itanisimamisha ah                  [Your yes will keep me up]
Ndio yako itanifungulia milango oh                [Your yes will open doors for me]
oh ndio yako oh X4                                       [oh your yes Jesus]

Tuesday, September 15, 2015

FUNGUA MACHO LYRICS BY JOHN LISU

[Verse1]
Mtakatifu, Ndiwe Mungu,
Jina lako, Ni takatifu,
Na moyo wangu, Utaziimba sifa,
Zako, Bwana

Kwa neema yako, Ninaishi,
Na wokovu wangu, ni wewe,
Ni wewe, yesu ,
Uliyeibeba dhambi, ukatupa
Maisha mapya
(kupitia msalaba, tumerejeshwa, ndani, ya nuru yako)x2

[Refrain]
Fungua macho, yangu nione,
Utukufu wako, Bwana,
Fungua macho, yangu nione,
Ajabu zako, na jina lako,  ooh
Ooh ooh aaah
Eeh eeh eeeh
Oooh aah aah
 [Verse 2]
[halleluya]
Haya ni maombi yangu Mungu wangu,
Ya kwamba ufungue macho yangu ya ndani
Nipate kuona, utukufu wa jina lako,
Nipate kuona, ajabu za jina lako,
Jehova nakuhitaji katika maisha yangu.
maana wewe ni kila kitu  katika maisha yangu,
(oooh)X3
Mwambie bwana afungue macho yako ya ndani, (oooh)X3
Ili upate kuona kile mungu anataka uone katika maisha yako
Kama Mungu alivyofungua macho yake Ngehazi (oooh)X3
Akaona walio upande wa bwana ni wengi
Kuliko walio  upande wa adui,
(oooh)X3 Na sisi tunatamani tuone ,katika macho yetu ya ndani
Mungu fungua macho yetu ya ndani ,na masikio yetu Ya ndani
(oooh)X3 tupate kujua yaliyo makusudi ya jina lako,yaliyo makusudi katika maisha yetu
Bwana haya ni maombi yetu ,ya kwamba ufungue macho yetu ya ndani,
tupate kuona bwana ooh halleluya

[verse 3]
Asanta  kwa kuwa unafungua macho yetu
Tupate kuona matendo makuu,
Asante kwa kuwa unabadilisha mataifa,
Na mataifa yatauona utukufu wako
Maana wewe ni mfalme wa wafalme na Bwana wa mabwana , halleluyah
(Fungua macho, yangu) x 2
(Fungua macho, yangu) x 4

Asante bwana kwa kufungua macho yangu,
Ninakushukuru nakubariki,
Kwa maana sitakuwa nilivyokuwa Baba
Unanipatia vitu sjawahi kuziona  katika maisha yangu
Wewe ni bwana wa mabwana

[Chorus]
Nione , utukufu wako X4
Jehova elshadai eloi tunakubariki Mungu wetu

Sunday, September 13, 2015

AFADHALI YESU LYRICS AND TRANSLATION BY SIZE 8





Nimepanda, nimeshuka, milima mabonde na mito
Nimevuka nimeosa, nimesota, nimekosa
Mpaka x2 nimekopa, nimeamini, binadamu ,
Ole wangu roho wakanivunja, niliambiwa
nikakana ,mimi mwenyewe nimekuja ona,
tunachodhamini, hakitufanyi tufurahii ..ii,

(Refrain)
Ooh najiuliza furaha yangu ni nani ii,
(Afadhali yesu aah ,afadhali ye, aliye na yesu)x4

Nimesakasakasaka mali sana,
Nikipatapata bado nataka more ,
Nimesakasakasaka pesa sana,
Nikipatapata bado nataka more
Makosa yangu, na dhambi zangu
matendo yangu yale ninajuta ,
umechukua ,umeondoa, ulisema hutayakumbuka
Tunachodhamini hakitufanyi tufurahi

(Refrain)



                                   TRANSLATION.

Nimepanda, nimeshuka,                        (have climbed,have come down)
 milima mabonde na mito                     (in hills depressions and rivers)
Nimevuka nimeosa,                                 (i have crossed)
 nimesota, nimekosa                                (have lacked and became broke)
Mpaka x2 nimekopa,                               (until i have borrowed)
 nimeamini, binadamu ,                          (i have trusted human beings)
Ole wangu roho wakanivunja,             (up until they have broken my heart)
 niliambiwa nikakana ,                            (i was advised but ignored)
mimi mwenyewe nimekuja ona,        (but now have realized)
tunachodhamini,,                                      (what we appreciate)
hakitufanyi tufurahii ii ,                          (doesn't make us happy

(Refrain)
Ooh najiuliza furaha yangu ni nani ii,                    (who is my happiness)
(Afadhali yesu aah,afadhali ye,aliye na yesu)x4(its better the one with jesus)

Nimesakasakasaka mali sana,                        (i have looked so much for wealth)
Nikipatapata bado nataka more ,                  (and if i get ,i want more)
Nimesakasakasaka pesa sana,                        (i have looked so much for money)
Nikipatapata bado nataka more                     (and if i get ,i want more)
Makosa yangu, na dhambi zangu                   (my mistakes and sins)
matendo yangu yale ninajuta ,                        (my actions ,my regrets)
umechukua ,umeondoa,                                    (you have taken)
 ulisema hutayakumbuka                                  ( and you will never remember them)
Tunachodhamini,                                                  (what we appreciate)
 hakitufanyi tufurahi                                            (doesn't make us happy


(Refrain)

Friday, September 11, 2015

UPENDO LYRICS BY JOHN LISU

[Refrain]
Je ni nani,atakayenitenga na upendo wako, eh eh yesuX2                

ha-hakuna cha kunitenga na upendo wako yesu X 2
wala wenye mamlaka wala wenye vyeo, ooh oh (hawanitenga)X 2
wala yaliyojuu wala yaliyochini, hayatanitenga na upendo wako
wala yaliyopo wala yatakayokuja, hayatanitenga na upendo

wala hakuna aah, cha kunitenga  na upendo wako, eh ,eh yesu X2
[Refrain]
Upendo upendo ooh oh,
yesu ninakupenda ah ah,
sinaye mwingine eh eh,
zaidi yako X2

kule kuwa kama mungu uliona, si kitu cha kushikamana nacho,
mbali ulinyenyekea, ah, hata mauti
Kwa upendo wako yesu, ukashuka kwetu,
ulidharauliwa na kuteswa kwa ajili yetu
[Refrain] X2

Nitakua wako, Sitatoka kwako,
Nitakaa nyumbani mwako (siku zote za maisha yangu) X2
Ale (siku zote) X2 (siku zote za maisha yangu)
Nitafakari  hekaluni mwako, baba (siku zote za maisha yangu)
Niutazame uzuri wako, yesu (siku zote za maisha yangu)
Ale (siku zote) X2 (siku zote za maisha yangu) X2

Repeat above verse.

Anatawala yesu X4
Hakuna kama yeye X4
Ni mwokozi wa ulimwengu yesu, hakuna kama yeye
Ni bwana wa mabwana, hakuna kama yeye
Hakuna kama yeye X2 hakuna kama yesu
hakuna kama yeye, Ni mwokozi wa ulimwengu yesu,
Hakuna kama yeye,
Yesu ndiye Bwana, jana leo hata milele X6

Alipo yesu, mambo yote yanawezekana X2
Alipo yahweh, mambo yote yanawezekana
Alipo Baba, mambo yote yanawezekana 
Hakuna Jambo (Lisilowezekana kwake yesu)X2
Anaweza yote , YesuX2
Anaponya Magonjwa(Anaponya Magonjwa, Yesu)

Alipo yesu, mambo yote yanawezekana X2
Alipo yahweh, mambo yote yanawezekana
Alipo Baba, mambo yote yanawezekana 
Hakuna Jambo (Lisilowezekana kwake yesu)X2
Anaweza yote , YesuX2

(Mataifa yote, acha sifa za Bwana zitikise dunia,
Washa moto wa roho, acha sifa za Bwana zitikise dunia,
Anastahili sifa eh X4 ) X2

Ruka Juu..kwa yesu

[ (Hakuna eh)x2 hakuna kama yeye ]X2
hakuna kama yesu eh ( hakuna kama yesu ) x2
[hakuna X3 ( hakuna kama yesu )] x2
hakuna kama yesu eh, ( hakuna kama yesu )  x2
Tanzania Nzima Hakuna Kama Yesu
Afrika Mzima Hakuna Kama Yesu
Furaha Iko.  

NANGOJA LYRICS BY CHRISTINA SHUSHO



NangojaX2
NangojaX2
Bado , nangojaX2
Bwana nangoja, Nangoja

Umesema niombe, utanipa, pia nitafute,nitapata, na tena nibishe utafungua,
Nikiita mungu utaitika, utaonyesha makuu nisiyojua,
Ivo mimi nangoja , nangoja, nangoja ahadi yangu, nangoja

[Repeat refrain]

Wewe ni mungu usiku, ni Mungu,
Tena ni mungu mchana, ni mungu,
wewe ni mungu mlimani, ni mungu, Tena ni mungu bondeni, ni mungu.
Mungu wakati wa shida, ni mungu,  Tena mungu wakati wa raha, ni mungu

Mungu wewe ni mungu,
uwahi wala uchelewi,
unajibu kwa wakati,
hata ukichelewa najua bado ni mungu
Na utabaki kuwa ni mungu, hata ukinyamaza,hata usipojibu,
najua wewe ni mungu,
Huwai wala uchelewi
Unajibu kwa wakati, wewe nu mungu,
Utabaki kuwa mungu, haubadili kazi yako, maana wewe ni mungu, Ni mgu eh ni mungu ,eh, najua bado ni mungu

HATUA ZA MWENYE HAKI LYRICS BY CHRISTINA SHUSHO




Hatua za mwenye haki, zaongozwa naye bwana,
na Bwana ufurahia, njia zake wakati wote X2
 
Nakukabidhi Bwana, njia zangu zote,
pia nakutumaini, najua Bwana utafanya,
Ata nijapojikwaa, sitaanguka chini,
Bwana utanishika mkono na kunitengenezaX 2

Bwana nimetambua unafanya kazi kwa siri ndani yangu

umwangazia mtumishi wako , uso wako,
maana ninayatamani maagizo yako.
Elekeza hatua zangu, kwa neno lako,
 uovu usije ukanimiliki X2

[Refrain]
Ongoza hatua zangu, (ee bwana) X2
Ongoza mwendo wangu, (ee bwana) X2