Hatua za mwenye haki, zaongozwa naye bwana,
na Bwana ufurahia, njia zake wakati wote X2
Nakukabidhi Bwana, njia zangu zote,
pia nakutumaini, najua Bwana utafanya,
Ata nijapojikwaa, sitaanguka chini,
Bwana
utanishika
mkono na kunitengenezaX 2
Bwana
nimetambua
unafanya
kazi kwa siri ndani yangu.
umwangazia
mtumishi
wako , uso wako,
maana ninayatamani maagizo yako.
Elekeza hatua zangu, kwa neno lako,
uovu usije ukanimiliki X2
[Refrain]
Ongoza hatua
zangu, (ee bwana) X2
Ongoza mwendo
wangu, (ee bwana)
X2
No comments:
Post a Comment