Saturday, September 26, 2015

SIJAFIKA LYRICS AND TRANSLATION BY WILLY PAUL ft SIZE 8, GLORIA MULIRO AND KAMBUA




(willy) Usinione narukaruka msela sijafika, Usinione nacheza ngoma msela sijafika
(size 8) Usinione narukaruka dada sijafika, usinione nacheza ngoma dada sijafika
(willy) Usinione mimi kwenye sitolia  sijafika, Usinione mimi kwenye tamtam  sijafika,
(size 8) Usinione narusharusha mateka sijafika, Usinione nawashawasha moto sijafika, 

(willy)Oh (sijafika)X3
[Refrain]
 

[Yee, natafuta yesu maishani yo
Iye iye eeh natafuta yesu maishani yo] X2 msela
Ehe, aahX2


(willy) Matime, huwanga nanung’unika ,na nikipata chuki
Nami natafuta yesu, wangu wa maishani
(kambua) Kweli kafanya nishikilea Baba lakini bado,
Mimi kambua sijafika naitaji uwepo wako ,
Ndio maana, usiku na mchana ntakupa sifa a, eh.

(Gloria)Ilianza Mwami aletsa, ikafuata Yesu Iroma,
Ikaja Kibali, nabado ukasonga ,
Tulipotoa Sitolia mwana walidhani tumefika,
Kumbe, ilibidi tufollow, follow you, (where you go),
Nangojea matokeo yangu , bado nagoja matokeo
Ata baada ya mpango wa kando sijafika,
Tuma baba, msaidizi kwangu maana zaidi nataka nimwone Yesu maishani mwangu.

[refrain]

Hatujafika , tuko safarini sote X2
Hatujafika, hatujafika eh X2
Willy paul ae, Kambua ae, size 8 ae, Gloria ae, hatujafika mama
Tupo safarini , ah, Teddy B.

[Refrain]




                                        TRANSLATION.


(willy) Usinione narukaruka msela sijafika,              (don't see me jumping all over friend ,am yet to achieved)
 Usinione nacheza ngoma msela sijafika                   (don't see me playing music friend, am yet to achieve)

(size 8) Usinione narukaruka dada sijafika ,               (don't see me jumping all over sister,am yet to achieve)
 usinione nacheza ngoma dada sijafika                       (don't see me playing music sister, am yet to achieve)

(willy) Usinione mimi kwenye sitolia sijafika                (when you see me in sitolia song am yet to achieve)
 Usinione mimi kwenye tamtam  sijafika,                     (when you see me inTamTam song am yet to achieve)

(size 8) Usinione narusharusha mateka sijafika,            (when you see me throwing kicks  am yet to achieve)
Usinione nawashawasha moto sijafika,                        (when you see me put up fire am yet to achieve)
(willy)Oh (sijafika)X3                                                  (oh am yet to achieve)

[Refrain]
[Yee, natafuta yesu maishani yo                                     (am looking for jesus in my life)
Iye iye eeh natafuta yesu maishani yo] X2 msela         
(am looking for jesus in my life ,friend)
  Ehe, aahX2

(willy) Matime, huwanga nanung’unika ,na nikipata chuki     (sometimes i get disappointed when i get hatred)
Nami natafuta yesu, wangu wa maishani                             (and am looking for jesus in my life)
(kambua) Kweli kafanya nishikilea Baba lakini bado,         (truly am holding on Him ,father and am yet)
Mimi kambua sijafika naitaji uwepo wako ,                       (i Kambua am yet to achieve,need your presence)
Ndio maana, usiku na mchana ntakupa sifa a, eh.               (thats why i'll praise you day and night)


(Gloria)Ilianza Mwami aletsa, ikafuata Yesu Iroma,     (i started with Mwami Aletsa,followed by Yesu Iroma)
Ikaja Kibali, nabado ukasonga ,                                 (followed by Kibali and am still moving on)
Tulipotoa Sitolia mwana walidhani tumefika,          (when we released Sitolia they thought we have achieved)
Kumbe, ilibidi tufollow, follow you, (where you go),    (But we released Follow you)
Nangojea matokeo yangu , bado nagoja matokeo       (Am still waiting for my results)
Ata baada ya mpango wa kando sijafika,                     (even after Mpango wa Kando ,am yet to achieve)
Tuma baba, msaidizi kwangu                                       (father send me a helper)
maana zaidi nataka nimwone Yesu maishani mwangu.     (because i want to see jesus in my life)

[refrain]

Hatujafika , tuko safarini sote X2                                     (we are yet to arrive,we are in a journey)
Hatujafika, hatujafika eh X2                                              (we are yet to arrive)
Willy paul ae, Kambua ae, size 8 ae, Gloria ae, hatujafika mama
Tupo safarini , ah, Teddy .                                                  (we are in a journey)

[Refrain]

No comments: