Thursday, October 8, 2015

PANGUZA MACHO LYRICS AND TRANSLATION BY ZB




Verse1
Walikusema, walikucheka,(They gossiped and laughed at you)
lakini kesho mambo itakuwa shwari,(but things will be well tomorrow)
mambo itakuwa shwari na wewe(things will be okey with you)

(refrain)
(Panguza macho )x2, panguza macho ili uone mbele ,
utacheka tena )x2(wipe your eyes ,focus on future and you will be happy again)

Verse2
(Wale)x8, watu( ulikula nao, ulicheka nao,
( the people you ate  and laughed with)
( ata kutembea, ulienda nao )x2,(even in your movements you were together)
(unaonaonaonana nao ,wako wapi )x2(they are nowhere to be seen)
Walikuacha ukizubaa ,(they left you stranded)
walikuacha ukilia ,(they left you in sorrows)
hao,walikuacha ukiwa down, (they left you at a low point)
panguza machozi husilie( u gona make it) .(don’t cry wipe your tears)
Kumbuka sarah alipata mtoto baada ya kuvumilia,
(remember sarah got a child after being patient)
 kesho  itakuwa vyema na wewe (it will be well with you tomorrow)
(Refrain)

Verse 3
Shamba ni yako, wanakupeleka kortini,
(the land is yours and they are reporting  you to court )
 ufanye nini,(what you do?)
 gari umenunua sura baya wakapita nayo,
(they are not happy with your new car)
 wakutakia nini,(what do they want from you)
 ata huko kazini moto umewaka,(even at  your job place things are not good)
 wanataka nini, (what do they want from you)
 ulidhani umepata lazizi ,(you thought you got a partner)
kumbe ilikuwa bure,(but it was all in vain)
akutesea nini unaonaonaonana nao(why do they mistreat you)
wako wapi(where are they?)
Walikuacha ukizubaa ,(they left you stranded)
Wako wapi(where are they ?)
walikuacha ukilia ,(they left you in sorrow)
hao,walikuacha ukiwa down,(they left you while u where stressed)
 Eeh panguza machozi husilie safari bado,
(just wipe tears you still have a long journey)
 kilio kinaweza kuwa usiku furaha inakuja asubuhi ,
(weeping may endure for a night but joy cometh in the morning)
wewe utacheka tena(you will be happy again)
(Refrain)
Verse 4
(Baba )x8 anaweza (our father is able)
Baba wa mbinguni baba wangu mie,(our heavenly father)
Anaweza( He is able)
(Walikupa kisongo wakaenda )x3
(they showed you their back and walked away)
Kesho watakupa saluti ,(they will salute you)
(Mungu wetu hana ubaguzi ,anakuona )x3
(our God is not discriminative,He can see you)

No comments: