Sunday, December 20, 2015

WEWE NI MUNGU LYRICS BY PAPPI




Wewe ni mungu wangu (wewe ni mungu)x2
Pokea sifa baba (pokea sifa)x2
Yuni zambe nanga(yuni zambe)x2
Khuni zama Yahweh(khuni zama)x2
Nitu lama Yahweh (nitu lama)x2
Halle halle halle(halleluyah)x3

Ah nani mwokozi yesu (yesu mwokozi)x2
Yesu ametenda miujiza nyingi ambayo ni ya maana
Anaponya na kufufua,*akatembea juu ya maji,
Akageuza maji kuwa divai,
Ata kama walimpigapiga ,aliponya

Yesu weex2 (aliponya)
Baba weex2(aliponya)
Bathimayo kipofu hakuzaliwa (aliponya)
Mapepo yakahamishwa kwa nguruwe (aliponya)
Ah mikate tano wakala watu maelfu (aliponya)
Ah yesu we x2 (aliponya)
Yesu we yesu baba (aliponya)

Ah nani mwokozi yesu (zambe nanga)x7






No comments: