Tuesday, May 10, 2016

ASANTE LYRICS BY DANNY GIFT FT. VICKYPONDIS


 Verse 1
Ninini nai nai no nahisi nina wimbo ,na sio wimbo tu
Wimbo wa shukrani ndani ya moyo wangu
Ninini nai nai no kweli ni mengi umenitendea,
Hivi kikweli nahisi niseme asante asante yo yo,
(Chorus)
(U mwema) asante jinsi nilivyo umenifanya ning’are,
(U mwema) uh umenilisha umenivisha ni asante,
Jana na juzi na leo pia najua kesho pia itakuwa shwari ah,
U mwema mwema nasema asante,
Asante kwa yale umetenda,
Asante nasema asante mimi,
Asante kwa yale utatenda,asante Vickypondis
Verse 2
Ata kama kuna dhiki mimi Vicky nitaimba tena
Kwa yale umenitendea wewe u mwema,
In every time I sing asante ,
asante kwa yale umenitendea oh yay a wewe u mwema

(Chorus)
Asante yesu kwa kuwa wewe u mwema,
Asante kwa kuwa wewe u mwema x2
U mwema mwema wewe wangu u mwema kwangu,

(Chorus)

No comments: