Friday, June 10, 2016

RAFIKI PESA LYRICS BY KANTY MOG


verse 1
Mog,sipati usingizi,omg ayo alex ,
ninatamani nipate kagari Dt dobie,
Nipate kabinti kamoja karembo,
tupate kashamba mahali pazuri,tuwezeishi,
tupate tutoto pili na mali,
(nakutafuta nakutafuta rafiki,
nakutafuta unitimizie ndoto)x2

(chorus)
ni kweli natafuta rafiki pesa,
sipati usingizi oh(rafiki pesa)
kweli ana nini (rafiki pesa)
nipate wapi (rafiki pesa)

verse 2
tajiri wangu ashakupata,
mbona bado ana mawazo,mbona hujazitatua,
jinsi mambo yanavyokwenda naona hutawezana,
ndio maana nashangaa pesa kipchonge, karanja wauliza yu wapi,
omondi wafula wauliza yu wapi,(rafiki pesa yu wapi)

verse 3
ni kweli natafuta rafiki pesa,
sipati usingizi oh(rafiki pesa)
kweli ana nini (rafiki pesa)
nipate wapi (rafiki pesa yu wapi)
nakutafuta (nakutafuta rafiki)
nakutafuta ninalo swali moyoni,
je nikikupata unanipa na amani,
je nikikupata unanipa na uhai,
na je kesho nitahiwahi,
naje ufalme wa mbinguni,
kumbe hautoshi mboga x3
eh nishapata (rafiki pesa)
na nilipopata( rafiki pesa)
hakunifaidi (rafiki pesa)
hakunipa amani ,
eh( hautoshi mboga x10)

,
1 comment:

DURP said...

Beautiful lyrics.