Monday, June 27, 2016

YESU NDIYE SPONSOR LYRICS BY JIMMY GAIT


onanana
Jimy gait again

Make it or make it

Lego,

Kuna watu university,
na wengine wako jobless
wanashinda wakitafuta, tafuta sponsor
hawataki kufanya kazi,
wanataka life so easy,
wanashinda wakitafuta sponsor

Utawapata serena,
utawapata sarova,
wakiwa wanangoja
waone kama wanaweza pata sponsor

[Refrain]
Afulegi X4
Yesu ndiye sponsor wa kweli, Afulegi

Unapewa nyumba
unapewa gari
na mali nyingi sana
mwishowe unajuta
sababu yake sponsor

Vile sponsor wako, anakufanyia
wadhani niwe peke
kumbe  kuna kadha wa kadha pia uwa ana sponsor

Wapata magonjwa, yasiyo na tiba
na future yako yatumbukia
njoo kwa yesu, sponsor wa kweli
hautajuta no no, no no.

Njoo kwa yesu, sponsor wa kweli
kila kitu atakupa 
njoo kwa yesu, sponsor wa kweli
hautajuta no no, no no.

 [Refrain]

No comments: