Saturday, July 9, 2016

FANYA LYRICS BY WILLY PAUL


mabinti walinichanganya (cha)
nairobi mpaka mombasa  (cha)
kayole mpaka dandora  (cha)
mathare mpaka huruma (cha)
gheto mpaka tribeka,
ni kweli mimi awilile,
nilikuwaga msirile,
oh walinitesa mabintire,
hivi leo nimerudire,
ai kwa mwenyezi re,anisamehe,

hivi jalali nimekumiss sana,
kukupenda ndio nataka kufanya,
fafafa-fanya (fanya) x4

walitap mic one, two,
si mnafahamu yule daudi-re,
alitendaga madhabi- re,
lakini mungu eh alimpendare,
leo leo narudi kwa baba ehx2
ni kweli mi awillie nilikuwaga

ni kweli mimi awilile,
nilikuwaga msirile,
oh walinitesa mabintire,
hivi leo nimerudire,
ai kwa mwenyezi re,anisamehe,

hivi jalali nimekumiss sana,
kukupenda ndio nataka kufanya,
fafafa-fanya (fanya) x4

mh kamata chini na na na,
juu kwa juu na na na na,
siku za mwisho zimewadia,
wangapi watarudi na mitendee kwake baba,

oh halleluyah x5No comments: