Friday, January 13, 2017

AINA NOMA LYRICS BY KELELE TAKATIFU


Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo

inajulikana ,huwezi pika githeri na candle,candle
na hivo hivo huwezi bila yesu akiwa kando,kando
shida ni mingi,kama risasi kwa movie ya rambo,rambo
lakini yesu suluhisho kutoka kitambo,kitambo
baadaye me naomba kiskuli,
maisha mitihani bila skuli,
shetani kujaribu kunikuli
lakini kwako natulia tuli,
so sitaruka kama tumbili,
ah nitakungoja nitasubiria
ah na ukikuja kwangu hatulii ,
utavuta machozi hatulii

Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo

askari kari kari ,unachunga milango haina noma
ata niwe daktari niende mbali
niwe nimesoma haina noma
yesu nitakuita uje utende jambo ,jambo
nitatuliza ngoma,ata ka nyumani kuna jambo,jambo
chini kaniokota,ndoto nikaota,
za kupaa kama nyota,nikiwa nawe sitasota
si nimeomba nimepray,staleta mchezo sitaplay
ninajua utakuja hutadelay,me ni wako pekeako sitakuplay

Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo

heri wamtumainio bwana (wamtumainio bwana) x2
wana furaha wamtumainio bwana (wamtumainio bwana)
watajibiwa wamtumainio bwana (wamtumainio bwana)
heri wamtumainio tumainio (wamtumainio bwana) x2

Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
Haina noma baba nakungojea ,nakugonjea
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambo
uje ufanye mambo,mambo
ubadilishe mambo,mambox2

1 comment:

S imon Kiragu said...

nice trial but the lyrics ain't correct