Tuesday, May 30, 2017

DIGIRI LYRICS BY WILLY PAUL

Intro
Binguni hakuna digiri, mungu wangu hana digiri, malaika hawana digiri, Adam na Eve hawakuwa na digiri... Some of you call me WILLY PAUL WILLY POZZE, some of you call me just POZZE

heaven material!!! 

Verse 1

Leo nina mambo, nitatoboa mambo, natakasema mambo, kama Rambo, sio Rambo kanambo, Rabuka mambo,

Mambo×3

Ukiniyima gilasi, hio sio mambo bali ni diambo na italeta mambo,

Tuonyeshane upendo simungu alisema ati tuwe na upendo, sio vita ka mama wa kambo.

Wengine wajidai ati wamesoma sana, waezi shirikiana na watu wajasoma,
Wacha nikusho binguni hakuna shule sote tuko equal. Hio tu ni mambo.
Pre-chorus

Wacha nikusho siri moja, huitaji awards kuingia heaven, wacha nikusho siri moja huitaji digiri kuingia heaven×2

Binguni hakuna digiri, Mungu wangu hana digiri, malaika hawana digiri, Adam na Eve hawakuwa na digiri ( digiri ×6)

Verse 2

Mmmmh Njeri usimulenge omondi, mmmh Njeri, usimulenge!! Unaweza mlenga kumbe unaye mlenga ndiye yule mmoja umekuwa ukimsaka, na itakuwa ni mambo, na mambo ni mambo,
Alisema atakuja in so many forms, hautaji kujaza anyforms, ukitenda mema... atakuchukuwa bila uniform.. Yeye hananga mambo, ukiwa na jambo, wewe mtafute, atakupa kamambo,

Pre-chorus

Wacha nikusho siri moja huitaji awards kuingia heaven, wacha nikusho siri moja, huitaji digiri kuingia heaven ×2

Binguni hakuna digiri, Mungu wangu hana digiri, malaika hawana digiri, Adam na Eve hawakuwa na digiri ( digiri ×6)

No comments: