Saturday, July 8, 2017

MWAMBIE LYRICS BY SIZE 8


Nikikuja bro, tubonge tu,
nikikuja dem, niambie tu,
naona vile ukona ukona...
hakuna mtu wa kumwambia,
mi naleta God anayeweza kusikia, yote unayopitia,
hatakujudge, hatukuangalia vibaya,
atakusikia,

mwambie, mweleze, Yesu atakusikia x2

najua everyday umeenda kwa watu wanakuangalia vibaya,
wanashindwa eeeh, nini mbaya na huyu dem,
nikicheki umelia, umeshindwa utaanza vipi?
mawazo, mashindo, unashindwa vipi, wapi,utaenda,
me naleta Saviour aliyekufa, Jesus anaweza,
usifikiri uko chini peke yako, yeye anakuinua anakueka juu,
mpatie roho, mpatie kila kitu,
ata yule mtoi ulipata,
wacha awipe tears zako away,
wacha akubembeleze yeye ndiye Saviour

mwambie, mweleze, Yesu atakusikia x2

nikiangalia sahi, hauna doo ya mathree,
unashindwa vile utaenda, niaje utafika home,
brathe job imeisha, keja imefungwa,
unashindwa vile utaambia mathe uko broke,
brathe,
mwambie, mweleze, Yesu atakusikia,
mi naleta saviour aliyekufa na kuraise up for you,
mweleze, Yesu atakusikia,
sijakuja hapa kujiinua, habari kuleta saiviour jesus,
kuleta saiviour jesus,
we mpatie roho yako uweze kuishi, vyema,
kama Mercy Masika alisema, umekuwa mwema kwangu,
kwangu,
mi naleta healer, eeeh
mi naleta saiviour,
mweleze, Yesu atakusikia,


No comments: