Thursday, January 14, 2021

HAKUNA GUMU KWAKO LYRICS BY JOHN LISU


Wewe ndiwe Mungu wastahili utukufu
Umefanya mengi ya ajabu
Wewe ni mfalme

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Ulitembea juu ya maji YESU
Hakuna gumu kwako
Wafanya njia pasipo na njia
Hakuna gumu kwako

Na wagonjwa wanapona YESU
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Kuta za gereza zatingizika
Minyaroro yakatika
Wafungwa wafunguliwa Yesu
Hakuna gumu kwako

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Mashtaka yetu yamefutwa
Vita vyetu ni juu ya Bwana
Falme zitainuka, falme zitaanguka
Bali ufalme wako wadumu

Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako
Hakuna gumu kwako Yesu
Hakuna gumu kwako

Milima yayeyuka kama nta mbele zako
Wanguruma kama radi wewe Mungu mwenye nguvu
Uliumba pasipo wewe kuumbwa
Wewe ni mfalme

No comments: