1
Ameniwaka huru kweli, naimba sasa: Haleluya! - He really set me free, I sing now: Hallelujah!
Kwa msalaba nimepata kutoka katika utumwa. - By the cross I got out of slavery
Nimeokoka, nafurahi! Na dhambi zangu zimetoka. - I am saved, I am happy! And my sins are gone
Nataka kumtumikia Mwokozi wangu siku zote. - I want to serve my Savior forever
2
Zamani nilifungwa sana kwa minyororo ya shetani, - Once upon a time I was bound by the devil's chains
nikamwendea Bwana Yesu, akaniweka huru kweli. I went to the Lord Jesus, he truly set me free
3
Neema kubwa nilipata kuacha njia ya mauti, - Great grace I found to leave the path of death
na nguvu ya wokovu huo yanichukua siku zote. - and the power of that salvation takes me all the time
4
Na siku moja nitafika mbinguni kwake Mungu wangu. - And one day I will reach heaven to my God
Milele nitamhimidi na kumwimbia kwa shukrani. - I will always praise him and sing for joy
No comments:
Post a Comment