Tuesday, November 28, 2023

TWASIZE BYOSE LYRICS WITH TRANSLATION BY CHRISTINA SHUSHO FT.ALARM MINISTRIES


Sisi tumeacha vyote tukakufuata yesu
sasa tuambie thawabu gani tutapewa
kazi zetu tumeacha kila siku tuko nawe
ebu tuambie thawabu gani tutapewa
thawabu gani tutapewa
husihofu mwanangu ,husihofu kabisa
husihofu mwanangu ,husihofu kabisa
tazama nimekuchora katika 
mikono yangu wewe
tazama nimekuchora katika 
mikono yangu wewe


makusudi yangu kwako ni mema kabisaa
Sisi tumeacha vyote tukakufuata yesu
sasa tuambie thawabu gani tutapewa
kazi zetu tumeacha
kazi zetu tumeacha
ila sisi tuko nawe
thawabu gani tutapewa

duniani mtapewa asilimia kwa mia
mfikapo mbinguni mtapewa uzima milele
duniani mtapewa asilimia kwa mia
mfikapo mbinguni mtapewa uzima milele
duniani mtapewa asilimia kwa mia
mfikapo mbinguni mtapewa uzima milele
duniani mtapewa hundred percent
mfikapo mbinguni mtapewa uzima milele

gukorera imana yacu ntagihombo kibirimo
gukorera imana yacu haringororano zitabarika
gukorera imana yacu ntagihombo kibirimo
gukorera imana yacu haringororano zitabarika
gukorera imana yacu ntagihombo kibirimo
gukorera imana yacu haringororano zitabarika
gukorera imana yacu ntagihombo kibirimo
gukorera imana yacu haringororano zitabarika

Sisi tumeacha vyote tukakufuata yesu
sasa tuambie thawabu gani tutapewa
kazi zetu tumeacha kila siku tuko nawe
ebu tuambie thawabu gani tutapewa
thawabu gani tutapewa
husihofu mwanangu ,husihofu kabisa
husihofu mwanangu ,husihofu kabisa
tazama nimekuchora katika 
mikono yangu wewe
tazama nimekuchora katika 
mikono yangu wewe
makusudi yangu kwako ni mema kabisaa

No comments: