mawazo ya moyo wangu
maneno ya kinywa changu
yapate kibali mbele zako
mawazo ya moyo wangu
maneno ya kinywa changu
yapate kibali mbele zako
mawazo ya moyo wangu
maneno ya kinywa changu
yapate kibali mbele zako
mawazo ya moyo wangu
maneno ya kinywa changu
yapate kibali mbele zako
neno moja nimelitaka
nalo ndilo nalitafuta
nikae miwani mwako bwana
niutazame uzuri wako,
ndani ya hekalu lako
neno moja nimelitaka
nalo nitalitafuta
nikae nyumbani mwako bwana
niutazame uzuri wako
ndani ya hekalu yako
nipate kibali mbele zako
mawazo ya moyo wangu
maneno ya kinywa changu
yapate kibali mbele zako
mawazo ya moyo wangu
maneno ya kinywa changu
yapate kibali mbele zako
eh yesu
eh roho
nipate kibali mbele zako
eh yesu
eh roho
nipate kibali mbele zako
No comments:
Post a Comment