Thursday, May 14, 2015

ENDA NASI LYRICS AND TRANSLATION BY SIFA VOICES KENYATunaomba uwepo wako uende nasi,
(we pray for your presence to be with us)
Ewe bwana wa majeshi tusikie,
(oh lord hear us)
Kama uendi nasi hatutaki kutoka hapa,
(we can't go unless you walk with us)
Hatuwezi peke yetu enda nasi
(we are unable,walk with us)

Tu watu wa shingo ngumu tusamehe,
(forgive us we are too stubborn)
Hatufai mbele zako turehemu,
we are not even worthy before you)
Tusafishe baba, tuonyeshe uso wako,
(show us your face and cleanse us)
Twahitaji neema yako enda nasi,
(walk with us we need your grace)


Tutavua, mapambo yetu,
(we shall remove our ornaments)
Vitu vyote vya dhamani kwetu,
(everything we value)
Mioyo yetu twaleta mbele zako,
(our hearts we bring before you)
Tutakase na utembee nasi,
(cleanse us walk with us)

Tunaomba utuonyeshe njia zako,
( we pray that you show us your ways)
Kwa maana umetuita kwa jina lako,
(for you have called us by your name)
Twalilia e bwana, utukufu na uso wako,
we cry for your glory and your face oh lord)
Bila wewe tutashindwa enda nasi,
(without you we will be defeated go with us)

Tutavua, mapambo yetu,
(we shall remove our ornaments)
Vitu vyote vya dhamani kwetu,
(everything we value)
Mioyo yetu twaleta mbele zako,
(our hearts we bring before you)
Tutakase na utembee nasi,
(cleanse us walk with us)


Ndugu na dada yangu, tafadhali usijaribu kuyamudu maisha bila yake bwana, utashindwa
Yafaa tufike mahali ambapo musa alimlilia bwana na kutafuta uso wake,
na kusema bwana tafadhali, enda nasi, enda nasi, twakuhitaji.

Tutavua, mapambo yetu,
(we shall remove our ornaments)
Vitu vyote vya dhamani kwetu,
(everything we value)
Mioyo yetu twaleta mbele zako,
(our hearts we bring before you)
Tutakase na utembee nasi,
(cleanse us walk with us)

Mioyo yetu twaleta mbele zako,
(our hearts we bring before you)
Tutakase na utembee nasi,
(cleanse us walk with us) x2


Twitter : @gospel_lyr2 comments:

Winnie C said...

Great lyrics.
http://cbps.uonbi.ac.ke

simon opili said...

Touched by the lyrics God bless