Tuesday, June 9, 2015

BWANA UMEINULIWA LYRICS BY FAITH MBUGUA

Bwana, Umeinuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi

Bwana, Umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi X2

Maserafi, wako mbele zako mungu,uuh, wazikabithi, heshima zako mbele zako
Wanalia , mtakatifu ni wewe mungu, uuh mtakatifu,mtakatifu ni wewe mungu

Bwana, Umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi X2


Makerubi,pia  wako mbele zako,ooh, hata nao, wazikabithi heshima zao
wanazivua, taji zao za dhahabu , uuh wakiinama, mtakatifu ni wewe mungu.

Bwana, Umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi X2

wazee wale ishirini na wanne, eeh, hata nao wazikabidhi heshima zao,
wanainama, mtakatifu ni wewe mungu, uuh, mtakatifu, mtakatifu ni wewe mungu.

 Bwana, Umei-nuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi X2

Viumbe wale walio hai, iih, hata nao wazikabithi heshima zao.
wapeperusha, mabawa yao mbele zako,ooh, wajifunika, mtakatifu ni wewe mungu

Bwana, Umeinuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi X2

Nafsi yangu, naiinua mbele zako,ooh, naungamana, na hilo jeshi la mbinguni,
mataifa yote nayo yajue, eeh , ya kwamba wewe, wewe mungu ni mtakatifu

Bwana, Umeinuliwa aah, katika, kiti chako, cha enzi X3



No comments: