Tuesday, June 9, 2015

NANI KAMA WEWE LYRICS BY EUNICE NJERI




Solo:
Nani kama Wewe , 
Nakwinua mungu wangu leo,
Nani kama wewe,
Nakupenda

 [Chorus]
Nani kama Wewe ,
Nakwinua mungu wangu leo,
Nani kama wewe,
Nakupenda X2

Miguuni pako,
Nakuinamia bwana,
Heshima na utukufu baba, Nakupa yesu.
Nimekuja nikuinue, Nimekuja nikupende,
Miguuni pako, Nakupenda.

 [Chorus]

Henzini pako, nakuinamia bwana,
Henzini pako, nainua mikono
Henzini pako, nakuabudu bwana,
Henzini pako pokea utukufu,

 [Chorus ]

Baba hakuna Mwingine tena,
Mwenye enzi na utukufu, kama wewe shallom Baba
U mungu wa wajane baba, Mweza yote kwa mayatima,
Nani mwingine kama wewe,Nakupenda.
Sina mwingine kando yako, Ninakushukuru baba,
Nakwinamia wewe, unastahili .

 [Chorus ] X3

Nani kama wewe bwana, Hakuna, Mwingine kama wewe bwana.
mfariji kama wewe bwana, Hakuna, Mwingine kama wewe bwana.
Duniani, mbinguni na chini baba, Hakuna, Mwingine kama wewe bwana.
Nani kama wewe bwana, Hakuna, Mwingine kama wewe bwana.


Amina, Amina oh , ooh , Amina Milele  X 10
Wewe ni mungu tunasema, Amina Milele
Jehova Shallom, Jehova Nissi, Amina Milele
Jehova Elshadai, Jehovah Adonai,  Amina Milele

4 comments:

Unknown said...

By listening to this song,I just feel blessed. May God continue to manifest Himself through your songs. Surely hakuna mwingine kama Bwana wetu Yesu Kristo

Unknown said...

It's a soul healing song. Amen

Unknown said...

I love it so very much

Unknown said...

Such a nourishing song to listen to