Showing posts with label EUNICE NJERI. Show all posts
Showing posts with label EUNICE NJERI. Show all posts

Monday, March 22, 2021

TUMESHINDA LYRICS BY EUNICE NJERI FT. GODWILL BABETTE


Jeshi la bwana amka, tuvae silaha twende
Tuimbe tushangilie, maana yote yawezekana
Jeshi la bwana amka, tuvae silaha twende
Tuimbe tushangilie, maana yote yawezekana oh
Hakuna asiloweza

Tumeshinda kwa jina la Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda kwa jina la Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba

Let the army of God arise
With the amor of God arise
Sing and shout to the king of kings
All things are possible
And nothing is impossible
Tumeshinda kwa jina la Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda kwa jina la Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda kwa jina la Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda kwa jina la Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba

Tumezungukwa na majeshi are mbinguni
Tumezingirwa na uwepo wako mungu
Tumezungukwa na majeshi wa mbinguni
Tumezingirwa na uwepo wako mungu
Tumezungukwa na majeshi are mbinguni
Tumezingirwa na uwepo wako mungu
Tumezungukwa na majeshi wa mbinguni
Tumezingirwa na uwepo wako mungu
Tumezungukwa na majeshi are mbinguni
Tumezingirwa na uwepo wako mungu

Come and lift your hands to Jesus
Aaah aaah aaah
Aaah aaah aaah
Aaah aaah aaah

Tumeshinda kwa jina la Yesu

Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda kwa jina la Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda kwa jina la Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda kwa jina la Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda sisi eeeh

Tumeshinda kwa jina yayi yahinda ( tumeshinda tumesa yaayi)
yahinda (onumeshinda
tumesa yayi yaazama) ona)
Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda kwa jina la Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda kwa jina la Yesu
Tumesimama kazi ya msalaba
Tumeshinda kwa jina la Yesu

Tumesimama kazi ya msalaba

Tuesday, September 19, 2017

NAKUENZI LYRICS BY EUNICE NJERI


Unaniwazia mema ,we wanifikiria mema,
upendo wa bure gharama ushalipa,yesu,
niko mikononi mwako bwana,
umenifanya mboni ya jicho lako,
uhai wa bure,wewe umenipa,
yesu umenipa mimi

nakuenzi,
eh enzi,mungu mwenye eh eh mwenye enzi,
nakuenzi,
eh enzi,mungu mwenye eh eh mwenye enzi,

mimi sawa na moto ulinipenda,
zaidi ya enzi yako ukanipenda,
kwani siwezi kulipa ila mi nakupenda,
pia yesu mbali na dhambi zangu umenitenga,
zaidi ya enzi yako kuniokoa,
nami siwezi kukulipa ila mi nakupenda,

nakuenzi,
eh enzi,mungu mwenye eh eh mwenye enzi,
nakuenzi,
eh enzi,mungu mwenye eh eh mwenye enzi


Friday, April 7, 2017

WANISHANGAZA LYRICS BY EUNICE NJERI




verse1
Every time i take a breathe or see the sunshine
streams flowing from up on the high mountain
far to the vast sky unknown, you are wonderful God
I think of the many many times i have seen your powerful hand
the miracles in my Life , how could i leave without you

[refrain]
Wanishangaza X2
Wanishangaza X2
Matendo yako makuu wanishangaza
Miujiza yako yesu wanishangaza

verse 2
Now take my heart, my faith, my trust
nakupa moyo wangu, na imani na kuamini
Baba nitaomba, nitaimba, nitakusifu
Milele nitaomba, nitaimba , nitakusifu
Mungu wa mapendo,  mwenye utukufu wote

[refrain]
Wanishangaza X2
Wanishangaza X2
Yesu Wanishangaza X2
Wanishangaza X2

[reggea tone]
(uh uh
eh eh) x3
Wanishangaza X2
Yesu wanishangaza X2
how you love me wanishangaza
God you're mindful of me Lord wanishangaza
Mimi ni mwanadamu tu wanishangaza
Jinsi waniwazia mema, wanishangaza
na ukuu wako yesu we, wanishangaza
Bwana unavyotawala, wanishangaza

Thursday, March 2, 2017

AMENI LYRICS BY EUNICE NJERI



verse 1:
Usifiwe mungu, muumba wa mbingu na nchi yote
(Ameni amen)
Jehovah Adonai, Jehovah El-shadai
(Ameni amen)
oh upo kila mahali baba, dunia yakutambua
(Ameni amen)
ukisema yahweh, nani apingane nawe
(Ameni amen)

[Refrain]
Halleluya
Halleluya
wewe ni Mungu mfalme
Bwana wa mabwana
Halleluya
Halleluya
wewe ni Mungu, mfalme
Bwana wangu

verse 2:
Tuko salama, chini ya mbawa zake eh mungu
(Ameni amen)
Kanisa sote tu imara, tumesimama palipo sawa
(Ameni amen)
Tumepewa nguvu, mamlaka na uwezo,
(Ameni amen)
usifiwe wewe, uliye juu sana,
(Ameni amen)


[Refrain]
Halleluya
Halleluya
wewe ni Mungu mfalme
Bwana wa mabwana
Halleluya
Halleluya
wewe ni Mungu, mfalme
Bwana wangu

verse 3:
Hakuna silaha, kinyume itakayo faulu
 (Ameni amen)
aliye ndani yetu, ni mkuu zaidi ya tunayemuona 
 (Ameni amen)
Tumepewa nguvu, mamlaka na uwezo
(Ameni amen)
usifiwe wewe, uliyeshinda yote
(Ameni amen)


tunakuinua
( Halleluya
Halleluya
wewe ni mungu, mfalme
bwana wa mabwana
Halleluya
Halleluya
wewe ni mungu, mfalme
bwana wangu ) X2


Halleluya  X 5 yesu
wewe ni mungu
mfalme Bwana wangu

Monday, April 18, 2016

PRAISE THE LORD LYRICS BY EUNICE NJERI FT.PASTOR RHYMES



(chorus)
Praise the lord oh my soul  praise the lord
Praise the lord oh my soul  praise him now,

From heaven you came,and died for me,
You were nailed to the cross,(just for me x2)
You rose with our keys with our freedom
( yes you did x2) ,dear lord
Oh I will sing oh now  I am free oh now I will sing
oh now i am free,oh forever i will praise praise you lord,


(chorus)

lord above,you are everything i have,
i need you now than ever before

oh now i am free oh now i can sing,

oh now i am free,oh forever i will praise praise you lord,

(chorus)

praise Him in the morning ,
praise Him in the noon time,
praise Him in the evening ,
(praise oh x2)x2
no matter what praise the lord,

(chorus)

Tuesday, June 9, 2015

NANI KAMA WEWE LYRICS BY EUNICE NJERI




Solo:
Nani kama Wewe , 
Nakwinua mungu wangu leo,
Nani kama wewe,
Nakupenda

 [Chorus]
Nani kama Wewe ,
Nakwinua mungu wangu leo,
Nani kama wewe,
Nakupenda X2

Miguuni pako,
Nakuinamia bwana,
Heshima na utukufu baba, Nakupa yesu.
Nimekuja nikuinue, Nimekuja nikupende,
Miguuni pako, Nakupenda.

 [Chorus]

Henzini pako, nakuinamia bwana,
Henzini pako, nainua mikono
Henzini pako, nakuabudu bwana,
Henzini pako pokea utukufu,

 [Chorus ]

Baba hakuna Mwingine tena,
Mwenye enzi na utukufu, kama wewe shallom Baba
U mungu wa wajane baba, Mweza yote kwa mayatima,
Nani mwingine kama wewe,Nakupenda.
Sina mwingine kando yako, Ninakushukuru baba,
Nakwinamia wewe, unastahili .

 [Chorus ] X3

Nani kama wewe bwana, Hakuna, Mwingine kama wewe bwana.
mfariji kama wewe bwana, Hakuna, Mwingine kama wewe bwana.
Duniani, mbinguni na chini baba, Hakuna, Mwingine kama wewe bwana.
Nani kama wewe bwana, Hakuna, Mwingine kama wewe bwana.


Amina, Amina oh , ooh , Amina Milele  X 10
Wewe ni mungu tunasema, Amina Milele
Jehova Shallom, Jehova Nissi, Amina Milele
Jehova Elshadai, Jehovah Adonai,  Amina Milele