Tuesday, September 19, 2017

NAKUENZI LYRICS BY EUNICE NJERI


Unaniwazia mema ,we wanifikiria mema,
upendo wa bure gharama ushalipa,yesu,
niko mikononi mwako bwana,
umenifanya mboni ya jicho lako,
uhai wa bure,wewe umenipa,
yesu umenipa mimi

nakuenzi,
eh enzi,mungu mwenye eh eh mwenye enzi,
nakuenzi,
eh enzi,mungu mwenye eh eh mwenye enzi,

mimi sawa na moto ulinipenda,
zaidi ya enzi yako ukanipenda,
kwani siwezi kulipa ila mi nakupenda,
pia yesu mbali na dhambi zangu umenitenga,
zaidi ya enzi yako kuniokoa,
nami siwezi kukulipa ila mi nakupenda,

nakuenzi,
eh enzi,mungu mwenye eh eh mwenye enzi,
nakuenzi,
eh enzi,mungu mwenye eh eh mwenye enzi


No comments: