Thursday, March 2, 2017

AMENI LYRICS BY EUNICE NJERIverse 1:
Usifiwe mungu, muumba wa mbingu na nchi yote
(Ameni amen)
Jehovah Adonai, Jehovah El-shadai
(Ameni amen)
oh upo kila mahali baba, dunia yakutambua
(Ameni amen)
ukisema yahweh, nani apingane nawe
(Ameni amen)

[Refrain]
Halleluya
Halleluya
wewe ni Mungu mfalme
Bwana wa mabwana
Halleluya
Halleluya
wewe ni Mungu, mfalme
Bwana wangu

verse 2:
Tuko salama, chini ya mbawa zake eh mungu
(Ameni amen)
Kanisa sote tu imara, tumesimama palipo sawa
(Ameni amen)
Tumepewa nguvu, mamlaka na uwezo,
(Ameni amen)
usifiwe wewe, uliye juu sana,
(Ameni amen)


[Refrain]
Halleluya
Halleluya
wewe ni Mungu mfalme
Bwana wa mabwana
Halleluya
Halleluya
wewe ni Mungu, mfalme
Bwana wangu

verse 3:
Hakuna silaha, kinyume itakayo faulu
 (Ameni amen)
aliye ndani yetu, ni mkuu zaidi ya tunayemuona 
 (Ameni amen)
Tumepewa nguvu, mamlaka na uwezo
(Ameni amen)
usifiwe wewe, uliyeshinda yote
(Ameni amen)


tunakuinua
( Halleluya
Halleluya
wewe ni mungu, mfalme
bwana wa mabwana
Halleluya
Halleluya
wewe ni mungu, mfalme
bwana wangu ) X2


Halleluya  X 5 yesu
wewe ni mungu
mfalme Bwana wangu

No comments: