Verse 1
Ndugu
yangu, (brethren)
Mungu
aliye kupatia ahadi , (God who promised)
yeye
ni mwaminifu , (he is faithful)
Mara
nyingi unaeza ona, (sometimes you can
think )
ni
kana kwamba amesahau (he has forgotten you)
lakini
mungu hajasahau, (he has not forgotten you)
subiri
bwana, atatenda, (wait on God he will fulfill)
(refrain)
(Ahadi
za bwana ) (promises of our God)
ahadi
za bwana yesu (promises of our lord jesus
zitatimia)x2 (shall be fulfilled)
verse 2
Husikate
tama , (don’t give up)
husifadhaike
mpendwa , (don’t
fret)
maana
mungu ni mwaminifu, (God is faithful)
(atatimiza)x2 (shall
be fulfilled)
(Refrain)
Verse 3
Husilie
ndugu, (don’t cry brethren)
husiangalie
nyuma , (don’t turn back)
maana
mungu yu pamoja nawe, (God is with you)
atatimiza)x2 (shall be fulfilled)
(Refrain)
Verse 4
Halleluyah,
husivujike moyo, (halleluyah don’t despair)
bwana atatenda, (God will perform)
jehova ni mwaminifu, (jehova
is faithful)
hashindwi
kamwe, (he has never lost any battle)
(Refrain)
Verse 5
Husiwache
kuomba, (never stop praying)
husiwache
kubisha mlango, (keep on knocking the door)
alisema
niiteni , (he said call on me)
nami
nitaitika,
(and I will answer )
nitawaonyesha
mambo makuu, (and
show you great things )
msioyajua (you know not)
(Refrain)
Verse 6
Angano
lake ni dhabiti, (his covenant is strong)
na neno lake ni imara, (his
word is true)
Uzima
wangu na njia yangu , (my life)
nimemuona
ni mwaminifu, (have seen him being faithful)
hakika atatimiza. (He shall perform)
(refrain)
Verse 7
Bwana
kamwambia msa, (God said to moses)
pamoja
na wanaisraeli , (and israelities)
nimesikia
kilio chenu, (I have heard your cry)
nimeyaona
mateso yenu , (and your suffering)
nimekumbuka
angano langu, (I have remembered my
(covenant)
nimeshuka
mimi mwenyewe, ( I have come myself)
neno
langu ooh,
(my promises)
nitalitimiza)x2 (I will perform)
(Refrain)
Verse 8
Husivujike
moyo,
(don’t give up)
inua
macho yako umwangalie bwana,(lift your eyes look
(unto
lord)
ahadi
zake atazitimiza, (his promises, He
will perform)
kamwambia
jeremiah, (He told jeremiah)
nalitimiza
neno lako (I will perform my promises)
nalitazama
mpaka nikalitimize(am watching my word to
( perform it)
halleluyah
No comments:
Post a Comment