Tuesday, October 27, 2015

SHERIA LYRICS BY AMBASSADORS OF CHRIST CHOIR

Zipo sheria pia amri za barabarani,(there are rules and regulations)
 zitupasazo kuzitii tukiwa safarini,(we have to respect during the journey)
 kinachoshangaza muda mwingi tunasahau,(surprisingly ,we often forget that)
Kuwa hizo amri zipo kwa usalama wetu,(these rules are meant for our own safety)
Ndio sababu ,unawaona madereva ,(that’s why you see drivers)
wakiendesha kwa kuchungana na polisi,(drive keeping an eye on traffic police)
 mwendo mkali bila kujali chochote,(speed driving ,not giving a damn,,caring nothing about)
Maisha yake ata maisha ya wengine,(be it their life or that of others)
pale atakapo muona askari kwa mbali,(and when they sight a cop from a distance)
 atajifanya kuzijali amri na sheria,(they pretend to respect the rules and regulations)
 kusudi ampendeze askari huyo,(to please him {the policeman})
 ila sio kwamba ajiepushe na ajali (but not because they want to avoid accidents)

(Refrain)
Hivyo ndivyo ilivyo ,sheria ya mungu,(in the same way it applies to Gods commandments)
 iko kwa usalama wetu,(they are meant for our own safety)
Mungu mwenyewe, haimsaidii kwa lolote ,(they don’t benefit God ,)
ila ni kwa faida yetu,(they are for our own good)
 lakini siku hizi za mwisho yapo mafundisho,(but in these last days ,there some teachings)
 ya kwamba amri zake mungu hazifai tena,(saying that God scommandments are nolonger worth)
husidanganyike ndugu msafiri mwenzangu ,(be not deceived fellow passenger)
bila amri ya mungu hatutafika salama (without Gods commandments we cannot arrive safely)



verse2
Katika safari hii ya wokovu twahitaji,(in this journey of salvation we need)
Mwongozo  tuekwe sawa na jamii ya mbinguni,(guidance so as tobe fitted for heaven above
Kama ni kweli twaudhamini wokovu ule,(if we really value that salvation)
 basi tutazishika amri kwa usafi wetu,(we will uphold the commandments that we may be pure)
 kama ni kuiba madhara yake, twayajua,(stealing has consequences and we all know that)
 je usizi matunda yake yako wazi ,(what of adultery?aren’t its fruits obvious)
husidanganye ,kumbuka pale ulipodanganya,( do not lie,remember when you lied )
 na jinsi ulivyokosa amani moyoni,(and the way you lost peace of mind)
Jambo hili li wazi kwamba jamii yoyote,(its obvious that each society)
Uwa na utamaduni pia desturi yake,(is guided by aculture and customs)
 kwa hiyo kazi zake amri na ile sheria,(similarly, His work ,statutes and commandments)
 ni kutuzoeza  na utamaduni wa mbinguni,(are meant toacclimatize us to heavens culture)


verse 3     
Dalili moja kama kweli una mpenda bwana ,(as assign tha you really love the lord)
Utawafundisha watu kuzitii amri zake,(you will teach others to obey his commandments)
 ata bwana mwenyewe kwa kinywa chake asema ,(and the lord himself in His own words says)
kama kweli mwanipenda mtazitii amri zangu ,(if you truly love me ,you will obey my commandments)
hivo yatupasa wote tuliokombolewa ,(therefore,for all of us who are saved)
Tujizoeze nayo desturi ya nyumbani,(its our duty to practice customs of our homeland)
 Punde ,safari itafikia mwisho wake,(soon the journey will come to an end)
 anayo heri atakaye fika salama ,(and blessed is he who will reach safely)
wewe uhubiriye neno ni kama dereva ,(you,mr preacher..,you like a driver)
tena  wale wafuasi wako ni abiria,(and your followers are like passengers)
 wapaswa kuzidhamini sheria za huku njiani,(you have to appreciate traffic rules)
Ili ufike salama na abiria wako(so that you can reach safely with your passengers)


(Refrain)x2

No comments: