Ooh yesu sio sisi tusikike mbali wewe (ooh jesus not us to be heard but you)
Verse1
Baba wetu wa mbinguni, (our father in heaven)
jina lako litukuzwe, (hallowed be your name)
ufalme wako uje, (your kingdom come)
mapenzi yako yatimizwe , (may your will be done)
toka mawanzo, hadi mwisho , (from
beginning to the end)
wewe ni alfa na omega , (you are alfa and omega)
ufalme wako hauna kosa, (your kingdom is pure)
kazi yako ni kamilifu (your deeds are complete)
(Refrain)
Malaika juu mbinguni, (angels in heaven)
wanainama na kuinuka (they are kneeling and
raising)
wazee, ishirini na nne
wazivua taji zao,
(the twenty four elders remove their crowns)
Wanasema( heshima na utukufu, (as they
sing honor praise,)
na sifa, ni zako bwana)x2, ( and praises are yours lord)
Wewe ni (mtakatifu x2)x4 (you are holy)
Jemedari wa vita, (war centurion)
wewe ndiwe bwana wa
majeshi, (you the master of the armies)
Wewe ni nuru yangu , (you are my light)
wewe wokovu wangu , (you are my salvation)
baba wewe eeh sijui mimi
nikuite nani,
(ooh father I don’t know what to call you)
wema wako hauna kipimo (your goodness are endless)
Uzuri wako hulinganishwi, (your goodness has no comparison)
(Refrain)
No comments:
Post a Comment