Monday, November 30, 2015

YULE YULE LYRICS BY ALICE KIMANZI
Verse1
Nimesikia ukitajwa mitaani,
Na kanisani waziimba sifa zako,
Yasemekana wewe ni muweza yote,
Hakuna jambo lolote likushindalo,
na shida zote (unatatua)
Magonjwa yote (wewe waponya)
Eeh ata na wafu,(we wafufua)
Nashangaa ah

(Refrain)
 wewe ni Yule Yule,
(Yule lele  yule yulex2)
we we ni Yule Yule
yule lele Yule yulex2


verse2
mungu wa msa Yule(Yule)
na  wa yakovo Yule(yule)
anayeponya Yule(Yule)
anayependa Yule (Yule)
mungu wa msa Yule(Yule)
na  wa yakovo Yule(yule)
anainua Yule (Yule)
anabariki Yule (Yule)

(refrain)
Repeat the whole
Verse3
Eeh… ,hubadiliki kamwe,
Ooh mungu wa msa Yule(Yule)
na wa yakovo Yule(yule)
anayeponya Yule(Yule)
anayependa Yule (Yule)
mungu wa msa Yule(Yule)
na  wa yakovo Yule(yule)
anainua Yule (Yule)
anabariki Yule (Yule)
 (refrain)
Twashangilia ,uaminivu wako baba,

Mungu wa msa Yule (Yule)
Na wa yakovo Yule (Yule)
Anakujali Yule (Yule)
Anaongoza Yule(Yule)

(Refrain)
Twasema shukurani,
Twasema ni asante,
Yule lele Yule Yule,(Yule)

No comments: