Sunday, December 6, 2015

YULE YULE BY YVONNE APHIA

Verse1
Sijaona rafiki mwingine kama yesu eeh,
Sijapata mwingine kama yesu eeh,
Yeye ni (YuleX4)  wa jana leo na milele,
(Yule X4) wa jana leo na milele,x2

(refrain)
Nimepata rafiki mwaminifu,
Nimepata hasiyebadilika,
Yeye ni (Yule X4) wa jana leo na milele,
(Yule x4) wa jana leo na milele,x2

Verse2
Dunia yote inaweza badilika,
Mwanadamu anaweza badilika,
Marafiki nao wanaweza badilika,
Lakini mungu wetu,(habadiliki kamwe)
Yeye  ni mungu wetu,(hageuki kamwe),

Yeye ni mungu wa kweli ,
akiongea leo lazima atatenda ,
akiahidi leo lazima atimize,
akinena leo lazima atatenda
akiahidi leo lazima atimize,
ndio maana naimba,

(refrain)
Verse3
yeye ni mungu wa kweli ,
sio kama mwanadamu aseme uongo,
sio kama mwanadamu akudharau,
wala wala mwanadamu akusimange,
yeye ni mungu wa kweli ,
ndio maana tunaimba, (yule Yule)
ndio maana tunaimba leo (yule Yule)
maana yeye ni mungu wa kweli (yule Yule)


mungu wa Abraham na isaka, (yule Yule)
mungu wa nyakati za yakovo (yule Yule)
yeye Yule Yule (yule Yule)
yule yule(yule Yule)




verse4
amenitoa mbali anilete karibu naye,
niishi ndani ya ahadi zake za milele sisizobadilika
sasa nina amani moyoni mwangu,
ni rafiki wa karibu hasiyebadilika,
nimempata yesu wangu eeh,

verse5
ni rafiki mwokozi yesu eeh
kaskazini magharibi  na kusini
nimetafuta sijaona,
niishi na baba yangu eeh
(niishi kwa bwana wangu)
Maana ndani yake kuna amani
 kuna baraka,Kuna upendo
furaha yangu niishi na bwana,

No comments: