Wednesday, January 13, 2016

FLY AWAY BY DK KWENYE BEAT FT.BOSS MOG




Ameshida kivita,
shetani akituona anapita,
Ameshida kivita oh
Verse 1
Nafeel shetani ni ka anataka kuniacquire,
*Wanajeshi kwa mbali feel nice si baya,
But the word in my heart keeps on
Napata usalama kwa maombi na kufunga,
Malaika wameachiliwa kazi kunichunga,
Adui naye kazi yake kuvuruga akiona tukisonga,
Anakuja kimya kimya

(Refrain)
I know you watching me,x3
Am not afraid ,
One day we gonna fly away(fly away) x4
And its gonna be a better place


Verse 2
*Kuwa hunted nika kuorder pizza ,
Imani chunga wasitry kutingiza ,
Tuko tiffany now ata wakituingiza,
Kazana tu kiswagg tuko near kumaliza,
Tunafanya ma miujiza kwa jina lake yesu
Mapepo tunakimbiza,
mziki safi kwenye hewa ndio unaskiza,
neno lake lainua ndio nuru kwenye giza,
ah na sitashtuka alishida kifo siku ya tatu,
akafufuka
ah na sitashtuka *

(Refrain)
(Fly fly,fly so highx3
Yesu akirudi tutafly so high )x3
Freedom freedom fire x 3
Gonna lift us so higherx2

Ameshida kivita,
shetani akituona anapita,
we are not afraid.

No comments: