(refrain)
Najikaza ,natembea, njiani nyembamba,
(Oh ninaimba ) ninaimba,ninasifu,
japo iwe ngumu,x2
verse1
nimekata
kauli,mimi nimeamua,
nimehesabu
gharama ya kuishi kwa nguvu zangu,
nikalinganisha
na faida ya kutengemea mungu,
(japo
njia iwe ndefu,majaribu yaniandame,
kwake
yesu nasimama,)x2
(refrain)
Verse 2
Wewe
ni nguvu yangu ,
Sina
mungu mwingine eh
Ila
wewe (bila wewe),
itafaidi
nini nauliza mimi kuufuata ulimwengu,
Wote
kisha mwishowe nipoteze nafsi yangu
(japo
njia iwe ndefu,majaribu yaniandame,
kwake
yesu nasimama,)x2
(refrain)
Verse3
Lazima
nifike mbinguni ,
Lazima
nimwone mwokozi,
Taji
yangu yaningoja ,lazima ,
lazima
lazimax4
(refrain)
1 comment:
Nice song... Where can i download it
Post a Comment