Monday, January 18, 2016

RUDIA LYRICS BY PITSON



Verse 1
Nimesikia x2,
 uligawanya bahari ya shamu watu wakapitia
nimeambiwa  x2,
ulifufua wafu ,ukakomboa watu,
ni kweli nimesoma ah,
nimesoma ah,
walipokutana na wewe wagonjwa walipona,
nimehubiriwa x2
ulikemea mapepo,
wakawa huru waliopangawa,

(refrain)
sio eti siamini,
rudia
sio eti ninashuku,
naomba tu ,(rudiax4),
uliofanya siku hizo fanya siku hizi,
(rudiax4)
uliofanya siku zao ,fanya siku zetu,

verse 2
nimesikiax2
ulisimamaisha jua, watu wako washinde vita
nimeambiwax2
ukitoa daudi kichakani ulikuwa na plan,
ni kweli nimesoma,nimesoma ,
waliimba milango ya gereza ikafunguka,
nimehubiriwa x2
 Elijah alipokuita haukumaibisha

(refrain)

No comments: