verse 1
Neno la bwana ni upanga mkali unaokata pande zote,
wateule tusife moyo,
wateule tusife moyo,
Yeye yule aliyeanzisha kazi njema ndani yetu,
ameahidi atakamilisha
(Refrain)
Kila siku ni kama jumapili (jumapili)
Kila siku kwangu , ni kama jumapili (jumapili)x2
Kila siku ni kama jumapili (jumapili)
Kila siku kwangu , ni kama jumapili (jumapili)x2
verse 2
jumatatu kufunga na kuomba ,
jumanne shiriki na wajane na yatima
jumatano baba,chambua bibilia,
alhamisi,shiriki na wafungwa na wagojwa,
ijumaa baba kesha kanisani
(kesha na kuomba)
jumamosi(jumamosi),
tangaza neno lako bwana yesu,
(refrain)
neno lako nahubiri ,
kwa nyimbo zangu za injili,
kwa maana wewe ndiye mwamba,
imara na salama,
(nitangaze ,nihubiri,nishiriki,nikusifu)x2
(oh yahweh,yahweh)x3
oh yahweh
(refrain)x2
wateule tusiwe wakristo wa jumapili pekee,
siku zote za wiki tukamilishe injili ,
na tutimize wajibu tuliopewa na yesu kristo,
watembelee wagonjwa hospitalini,
ushiriki na mayatima na wajane,
kuwasaidia wasiojiweza,
na kueneza injili hadi pande zote za dunia,
kutii amri zake mwenyezi mungu,
na kufuata maagizo yake ,
tutii amri
(refrain)x2
kila siku (jumapili)x2
ah (jumapili x2)
No comments:
Post a Comment