Showing posts with label Daddy Owen. Show all posts
Showing posts with label Daddy Owen. Show all posts

Saturday, September 10, 2016

WEWE NI MUNGU LYRICS BY DADDY OWEN FT.RIGAN SARKOZI


ozali eh ,messiah,
mokano nayo esalema oseeh,
ozali eh ,messiah,
mokano nayo esalema oseeh,
wewe ni mungu,usifiwe ,
mapenzi yako yafanyike kote,

na kuishi kwangu ni we,
kulala kwangu ni we,
kuvaa kwangu ni wewe baba,
maisha yangu ni wewe,(baba ni wewe)
uzima wangu ni wewe yahweh,
ata kama sina pesa ,ata kama sina mali,
ata kama sina ,kwa mapenzi najua utatenda,
maisha yangu ni wewe,(baba ni wewe)
uzima wangu ni wewe yahweh,

chorus
ozali eh ,messiah,
mokano nayo esalema oseeh,
ozali eh ,messiah,
mokano nayo esalema oseeh,
wewe ni mungu,usifiwe ,
mapenzi yako yafanyike kote,

yozali nzambe ya bolingo,
yozali nzambe ya boboto,
yozali nzambe,
yondeo bikisanga olongolanga napasii,
ozali nzambe ya bolingo,
ozali nzambe ya boboto,
ozali nzambe ya bikisakaa,
yobikisa bikisa,
yozali nzambe ya bolingo,
yozali nzambe ya boboto,
yozali nzambe,
yondeo bikisanga olongolanga napasii,
ozali nzambe ya bolingo,
ozali nzambe ya boboto,
ozali nzambe ya bikisakaa,
eh ozali

chorus









Sunday, January 17, 2016

JUMAPILI LYRICS BY DADDY OWEN

verse 1
Neno la bwana ni upanga mkali unaokata pande zote,
wateule tusife moyo,
Yeye yule aliyeanzisha kazi njema ndani yetu,
ameahidi atakamilisha 

(Refrain)
Kila siku ni kama jumapili (jumapili)
Kila siku kwangu , ni kama jumapili (jumapili)x2

verse 2
jumatatu kufunga na kuomba ,
jumanne shiriki na wajane na yatima
jumatano baba,chambua bibilia,
alhamisi,shiriki na wafungwa na wagojwa,
ijumaa baba kesha kanisani
(kesha na kuomba)
jumamosi(jumamosi),
tangaza neno lako bwana yesu,

(refrain)

neno lako nahubiri ,
kwa nyimbo zangu za injili,
kwa maana wewe ndiye mwamba,
imara na salama,
(nitangaze ,nihubiri,nishiriki,nikusifu)x2
(oh yahweh,yahweh)x3
oh yahweh 

(refrain)x2

wateule tusiwe wakristo wa jumapili pekee,
siku zote za wiki tukamilishe injili ,
na tutimize wajibu tuliopewa na yesu kristo,
watembelee wagonjwa hospitalini,
ushiriki na mayatima na wajane,
kuwasaidia wasiojiweza,
na kueneza injili hadi pande zote za dunia,
kutii amri zake mwenyezi mungu,
na kufuata maagizo yake ,
tutii amri

(refrain)x2

kila siku (jumapili)x2
ah (jumapili x2)








Friday, November 6, 2015

OKOKROKOO LYRICS AND TRANSLATION BY DADDY OWEN FT 24 ELDERS





(You don’t believe in what I say ,
you cannot deny my proof oh)x2
From kayole to runda
you cannot deny my proof so
From zero to a hero oh,
you cannot deny my proofoh e wo

(Refrain)
(Okokroko(undecribable one)
zambe papa )x4(I exalt you father)

Verse2
Mungu halalix2,(God doesn’t sleep)
ni mungu mwenyezi,(He is almighty God)
Kwenye kiti cha enzi , (at the throne)
mungu wa yakobo(leo) (God of Jacob)
halali kwa gondoro(leo)(He doesn’t sleep on a matress)
 hasiye na kasoro,(with no defects)
(leo) ako macho(He is awake)
(refrain)

Verse3
Yesu asali zambe,
zambe na 24 
apesa bigo nogobege  kilicho chako mama eeh
banin'ga toyemba ah, (Okokroko yan'go yo)
Okokroko yan'go yo mama ah, (Okokroko yan'go yo) 
(refrain)


(Someone to kindly sent us part b of the lyrics  via email eafgospel@gmail.com  )



Lola ee ehx4