Monday, April 18, 2016

HAUTAKUMBUKA TENA LYRICS BY STEPHEN KASOLO FT. ROSE MUHANDO

(chorus)
shida zilizokukumba miaka nenda miaka rudi
hayo ni mapito tu hautakumbuka tenax2

verse 1 (rose muhando)
haijalishi umeishi kwa shetani miaka mingapi ,
mungu yuko pamoja nawe  hautakumbuka tena,
simama,jitie nguvu mikono yako
mungu yuko pamoja nawe  hautakumbuka tena,

verse 2 (kasolo)
mungu wetu ni mwaminifu ,
akisema atatenda atakutendea
na mapito yale unayopitia ,
hayo yatapita hautakumbuka tena

(chorus)

verse 3 (kasolo)
yeye mume wa wajane bwana, baba wa yatima bwana ,
ahadi zako bwana ni za milele,
nimeona kwa macho yangu akitenda bwana

(chorus)

mbele yako kuna mamba mbele yako kuna simba,
husirudi nyuma simama songa mbele,
oh mungu hasiyeshindwa atasimama pamoja nawe atakusaidia,
mwenzio miaka mingi umekataliwa ndugu,
hivi ndugu songa mbele hautakumbuka tena,
mipango ya mungu maishani mwetu ni ya fanaka,
husilia dada songa mbele,songa songa,

 (chorus)

wewex3 sirudi nyuma,hautalia tena,
husilie tena,hautakumbuka tena
eh hautakumbuka tena,
mateso yako yamefika mwisho
(hautasumbuka tena)
mahagaiko yamekwisha  
(hautasumbuka tena)
tulipotoka haturudi sisi
(hautasumbuka tena)
machozi hakuna 
(hautasumbuka tena)
yesu yuko atakupanguza machozi,
(hautasumbuka tena)
yuko kwa ajili yako (hautasumbuka tena)
hautasumbuka mama (hautasumbuka tena)
hautasumbuka baba (hautasumbuka tena)
akupenda bwana yesu ,(hautasumbuka tena)
husiliex3 (hautasumbuka tena)
mungu amesikia (hautasumbuka tena)


No comments: