Tuesday, April 5, 2016

TUMAINI LANGU LYRICS BY ALICE KAMANDE

uwezo wangu umeisha sasa,
unisaidie eh na walimwengu wanicheka sana,
nateseka yah ,mipango yangu ishagonga mwamba,
lakini wajua ,tumaini langu ni wewe ,sitaogopa,
nishagundua hakuna kitu kikubwa kama penzi lako,
mungu shikilia ata  mwana wako ,nisishindwe,

(chorus)
wewe ndiwe tumaini langu,
wanipa nguvu ya kushinda,
wewe ndiwe kimbilio langu,
nikikuita unasikia,(tena unajibu x2)


niliposhindwa kutii amri zako,nilikubembeleza,
kuhusu dhambi zangu zote,ukazichukua,
hukusita kunionyesha penzi hili,
ukapaa msalabani kusudi niwe nawe,
nishagundua hakuna kitu kikubwa kuliko pendo lako,
hukushikilia ata mwana wako nisishindwe,

(chorus)

gharama ya wokovu wangu ,kalipia msalabani ,
gharama ya uzima wangu,kamwaga damu kalvari,
No comments: